Asante sana mkuu itabd nifanyie kazi hili swalaHii hali nayo hunikuta ila nakushauri usikae nae sehemu moja muda mwingi bali toka fanya shughuli halafu urudi.
Nahisi ni kukinai solution ni kubadli mazingira sio unashinda nae daily pia mawasiliano yaache kwa sababu hii kitu inahitaji ummiss kidogo.
Mahusiano ya kibongo bongo ubunifu zero kabsaNa mimi uwa nakua na tatizo kama hili... lakin nafikr chanzo ni kumpenda sana yule mwanadada na kua nae karibu sana kunafanya mfanye mambo yote mmalize so unakuta akuna kipya kwnye mahusiano yenu... na lengn ni awa wadada wetu wengi mbali na kugegedana awana chengine cha ku offer kwenye mahusiano
Tafuta mood kama haupo okay mkuu.Asante sana mkuu itabd nifanyie kazi hili swala
Wewe c memba wa chaputa wewe?Mkuu tuna tatizo lakufanana, ngoja na mimi nikae hapa nipate darsa. Nimeamua kuwa single tu kwa sasa maana nimewaliza watoto wa watu hadi nawaonea huruma.
😀😀😀😀😀 una ushahidi?Wewe c memba wa chaputa wewe?
Yatupaswa tujitambue mkuu.Mahusiano ya kibongo bongo ubunifu zero kabsa