Nay wa mitego: Mimi siimbagi uwongo, Mimba ya wema iliyeyuka, Ommy dimpoz tumesikia anapumuliwa,

Kasema dimpoz anapumulia?
Kama kuna kaukweli hapa

Sababu dimpoz kWa wanaofahamu ajawai kua na demu wake toka utotoni

Lisemwalo lipo mama halipo laja
 
Huyu mtu asie kuwa na demu ndo ana pumuliwa?

Labda alikatwa wakt anafanyiwa MC? au ana IMPOTENCE?

km kutokua na demu unaliwa mapad**** tuwahisije?

KM kuna ushahidi wa wazi anapumuliwa na fulani imethibit ok
laa sivyo ni kumdhulumu hadhi ake.
 
Afu mwanaume kuwa mbeambea kuuongeaongea ya watu ni ukike ukike

Wanaume wanajulikana kwa mapene sio kwa umbeaumbea
 
.. Zaidi ya watu 6 hapa wamesema imebuma, wewe peke yako ndo hukubali. Remember numbers don't lie..
Iko hivi kwa hapa bongo definition ya wimbo kubuma inaweza ikawa na maana tofauti maana wapo wanaosema pia wimbo wa Rich mavoko 'kokoro' umebuma. Wimbo kubuma inakuaje kwanza?
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…