Nay wa mitego: Mimi siimbagi uwongo, Mimba ya wema iliyeyuka, Ommy dimpoz tumesikia anapumuliwa,

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
Msanii Ney wa mitego amedai anaimba ukweli ndio maana hata aliyoyasema kwenye wimbo wake wa shika adabu yako amesema yamekuja kuthibitika ametolea mfano kuwa wema sepetu mimba yake iliyeyuka kama alivyodai, Ommy dimpoz akatajwa anapumuliwa na diamond na shetta gari yake ya milioni 100 nayo ikayeyeuka
 

peterchoka

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
7,376
2,000
Alianza kwa chibu kaja kwa Ommy, siku atakapomgusa mchizi wa bongo ndo ataisoma namba, wimbo umebuma tulia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom