Nawiwa Kufahamu suala hili

Mbanti

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
946
Reaction score
1,741
Hivi inaposemekana kwamba mwanaume aliyeathirika kwa kupiga puchu kwa muda mrefu uume unakuwa kama wa mtoto.

Sasa nikijaribu kuimajini kananilii kamtoto jamani inakuwa sasa iko vp dume la miaka kama 25 nanilii kama ya mtoto kweli...si hatari wakuu kuwa na kama ya mtoto
 
Mimi punyeto nimefanya mwaka wa 11 huu lkn mhogo ni made in jang'ombe vile vile bila kasoro
 
Mm punyeto nimefanya mwaka wa 11 huu lkn mhogo ni made in jang'ombe vile vile bila kasoro
Ahahahhahahaha

Mbna muda mrefu
Sasa wanaosema muhogo unarudi kwa ndani kabisa inakuwaje au ndo wamepiga miak 20
 
Ahahahhahahaha

Mbna muda mrefu
Sasa wanaosema muhogo unarudi kwa ndani kabisa inakuwaje au ndo wamepiga miak 20
Hakuna kitu kama hicho, niamini ww jilipue tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…