malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,919
- 4,709
Wakuu msaada wenu wa ushauri ninamna gani naweza pata wateja wengi nawateja wapya katika biashara
Jamaa si ajabu anataka aambiwe nenda kwa mganga fulani kwani swali linashangaza. Wateja wengi kwenye biashara inategemeana na factors nyingi sana, kuanzia location ya biashara, bidhaa zinaziuzwa na bei zake, upekee wa bidhaa na umuhimu wake, idadi ya washindani walio karibu na wewe, huduma kwa wateja etc. Haya mambo ni basic sana na sijui kama kuna mtu anafungua biashara bila kuyajua.1- Kua na bidii ya kufungua biashara asububi sana.
2- Waheshimu na uwe mwenye adabu sana kwa wateja wako.
3- Kuwa msafi wewe binafsi na biashara yako pia.
4- Usitamani kupata faida kubwa.
Biashara ya nguo za ndani,biashara ya sm na vifaa vyake,na vyomboMkuu ungeainisha aina ya biashara unayofanya ili iwe rahisi kupata ushauri wa wapi wateja wa aina hiyo ya biashara wanapatikana ili iwe rahisi kupewa mbinu.
Mbinu za kutoboa kwenye biashara zinatofautiana kutegemeana na aina ya biashara.
Hii ya vyombo , umenunulia wapi jumla?Biashara ya nguo za ndani,biashara ya sm na vifaa vyake,na vyombo
KariakooHii ya vyombo , umenunulia wapi jumla?
Nilidhani zenjiKariakoo
We vp unachulia zenji..kwani zenji kukoje Bei za vyomboNilidhani zenji
Kwanza una hakika hapo biashara yako ilipo inaruhusu kupata wateja wengi + wapya?Wakuu msaada wenu wa ushauri ninamna gani naweza pata wateja wengi nawateja wapya katika biashara