Lugha gani inatumika kwenye kuhojiwa..?Kwanza uwe na barua ya mwaliko.
Status yako hapo Tanzania,
shughuli unayofanya.
Ukienda utakua n Pesa kiai gani,
Kwa ajili y matumizi..
Utafikia kwa nani,
Utakaa muda gani,
Nani atabeba gharama zako Ukiwa kule.
Hakuna short cut ya kupewa visa bila interview.
Ukipata visa, ndipo unakata ticket ya go and return.
Ukiwa USA utaongea Lugha gani na wale wakina Snoopy Dogy Dogy...Lugha gani inatumika kwenye kuhojiwa..?
Utaweza wao lugha sio kigezo kikuu ingawaje ukiwa unajua Ngeli inakupa Confidence sana kwa maswali yao kama umejibu sahihi au laa maana baada ya interview utajua tu kama hapa Visa ipo au laa.Kwaiyo kama sijui ngeli interview sitaweza ..?
Kwahiyo kama sijui kabisa ngeli hilo sio tatizo..?Utaweza wao lugha sio kigezo kikuu ingawaje ukiwa unajua Ngeli inakupa Confidence sana kwa maswali yao kama umejibu sahihi au laa maana baada ya interview utajua tu kama hapa Visa ipo au laa....
Mkuu jifunze pia ngeli sio ngumu kivile uwe nacho hata cha kunywea maji shule za ngeli zipo nyingi sana ingawaje nimeona watu wengi wamejifunza ngeli huko huko walikofika...Kwahiyo kama sijui kabisa ngeli hilo sio tatizo..?