We hujatuliza kichwa mkuu, lazma ujifunze kupokea mawazo tofauti na uliyonayo kichwani. Mi nmeongea kwa fact na sio mazoea kama ulivyofikiri, So far unaonesha una temper sana, jitahidi kucontrol hio hali mkuu!
Basi cheki vifaaa vyako, ila usikanushe kitu kama vile unajua kumbe hauwezi kufanya hivyo.
Underline sentensi yoyote inayoonyesher temper hapo katika post yangu. Rather hujui maana ya temper na itabidi uniombe msamaha kwa kuni misquote... Question mark sio temper..We hujatuliza kichwa mkuu, lazma ujifunze kupokea mawazo tofauti na uliyonayo kichwani. Mi nmeongea kwa fact na sio mazoea kama ulivyofikiri, So far unaonesha una temper sana, jitahidi kucontrol hio hali mkuu!
Basi cheki vifaaa vyako, ila usikanushe kitu kama vile unajua kumbe hauwezi kufanya hivyo.
Niwie radhi mkuu maana mi sio miongoni mwa waropokaji, naweza kuelezea process yote hapa bila tatizo. Im sure of what im speaking cause sijasimuliwa kuhusu hilo, nimelifanya mwenyewe more than once.
Huyu kiongozi wangu ananipima temper yangu... In short asitumie neno temper bse yeye alijaribu kunichallenge na mimi nika hit back.. So you cant call it temper... Hii ni kama debate.. You reply with fact.. Au sio kiongozi?Wasi wasi wako mkuu, mbona jamaa yuko "poa" tu?
Underline sentensi yoyote inayoonyesher temper hapo katika post yangu. Rather hujui maana ya temper na itabidi uniombe msamaha kwa kuni misquote... Question mark sio temper..
ni kujishaua tu mkuu yaan bora ningeuchuna lkn hata huvyo nashukuru nisingeyajua yote hayaHa haa!!! Kaka hii mambo mimi huwa sithubutu kujaribu ..
acha tuu nipo mishe na kilaptop changu hapo nishascan barcode jana yake halafu ujinga waje hata haimjulishi km una mtu mwingne anaona chat zake we zinaingia tu kwako si ndo nikafungua we bwana wewe aliniambia yupo mwezini hiyo jana kumbe katokwa kusuuzwa na kiserengeti boy chake mbaya zaidi ni kadogo cha kitaani tu kanakua nakiona harafu kijamaa kinasifia mauno ya mkewangu demu nae anadai kapigishwa kwata saa nzima eti mimi sioni ndan HAKUNAGA halafu wamepiga kavu sasaHa ha haaa!!!! Tupe experience mkuu.
Ungeuliza tu au kusema unafanyaje na angekueleza inavyotakiwa ufanye.
Kobelo najua unatupiga fix.. Mimi nikikuta hivi siku hio hio namtosani kujishaua tu mkuu yaan bora ningeuchuna lkn hata huvyo nashukuru nisingeyajua yote haya
acha tuu nipo mishe na kilaptop changu hapo nishascan barcode jana yake halafu ujinga waje hata haimjulishi km una mtu mwingne anaona chat zake we zinaingia tu kwako si ndo nikafungua we bwana wewe aliniambia yupo mwezini hiyo jana kumbe katokwa kusuuzwa na kiserengeti boy chake mbaya zaidi ni kadogo cha kitaani tu kanakua nakiona harafu kijamaa kinasifia mauno ya mkewangu demu nae anadai kapigishwa kwata saa nzima eti mimi sioni ndan HAKUNAGA halafu wamepiga kavu sasa
papo hapo PRESHA nikawaisha mapumziko na dripu juu ni kama wiki na nusu au mbili tanguu litokee hilo tukio
sina hata na whatsaap web
Sasa wewe ndio umeonyesha temper yako..Only a wise person can read whats inside a stupid persons mind...Naomba nikupe ushindi tu mkuu, got other stuffs!
Huyu kiongozi wangu ananipima temper yangu... In short asitumie neno temper bse yeye alijaribu kunichallenge na mimi nika hit back.. So you cant call it temper... Hii ni kama debate.. You reply with fact.. Au sio kiongozi?
Temper ni kama ningemtukana au ningemjibu vibaya but so far sijamjibu vibaya nimemjibu kwa kumuuliza maswali tena ya darasa la kwanza.. Ila mimi niliingia tu kwenye mtego wake bse nilikuwa sijajua kuwa anani challenge.. Bingejua ninge skip post yake... But so far sijamjibu vibaya...
true man kama uniamini nipm namba yako nikutumie scrrenshotKobelo najua unatupiga fix.. Mimi nikikuta hivi siku hio hio namtosa
Kama myu kaomba msamaha..true man kama uniamini nipm namba yako nikutumie scrrenshot
hapa nipo kama fala japo kaomba sana msamaha nimemsamehe lkn siwezi kuwa nae tena kuchangia mkee inauma sana kaka hlafu mbaya zaidi nilimuamini sana
ni kujishaua tu mkuu yaan bora ningeuchuna lkn hata huvyo nashukuru nisingeyajua yote haya
acha tuu nipo mishe na kilaptop changu hapo nishascan barcode jana yake halafu ujinga waje hata haimjulishi km una mtu mwingne anaona chat zake we zinaingia tu kwako si ndo nikafungua we bwana wewe aliniambia yupo mwezini hiyo jana kumbe katokwa kusuuzwa na kiserengeti boy chake mbaya zaidi ni kadogo cha kitaani tu kanakua nakiona harafu kijamaa kinasifia mauno ya mkewangu demu nae anadai kapigishwa kwata saa nzima eti mimi sioni ndan HAKUNAGA halafu wamepiga kavu sasa
papo hapo PRESHA nikawaisha mapumziko na dripu juu ni kama wiki na nusu au mbili tanguu litokee hilo tukio
sina hata hamu na whatsaap web
Sasa unaulizeje kitu ambacho unakijua ndugu?Ungeuliza tu au kusema unafanyaje na angekueleza inavyotakiwa ufanye.
Kobelo najua unatupiga fix.. Mimi nikikuta hivi siku hio hio namtosa
Ila kweli... Utamu wa ngoma..Kumtosa mama watoto siyo kitu rahisi kivile i see. Kuta zinaficha mengi kiongozi.
Sasa unaulizeje kitu ambacho unakijua ndugu?
nimeshasamehe mkuu 7bu nimempa taraka 1 aende kwao nitulize kichwaa kwanzaKama myu kaomba msamaha..
Dawa yake ni very simple.. Mpe warning na msamehe. Na usije ukalizungumzia tena hilo suala.. Hata siku akikuchukiza wewe usimkumbushie ..