View attachment 372191 Very simple..
Ingia whatsapp web then fungua whatsapp yako kwenye simu yako then kuna kode utaiscan itakudirect kwenye pc yako.. Ni kitendo cha sekunde moja
Kwa njia hii lazima uwe na simu yenye whatsapp.. Contacts zako zote groups na kila kitu kinahamia kwenye pc yako.. Ni simple sanaAsante kiongozi. Nitarudisha feedback.
Sekunde moja??? Hebu acha uongo mkuu!View attachment 372191 Very simple..
Ingia whatsapp web then fungua whatsapp yako kwenye simu yako then kuna kode utaiscan itakudirect kwenye pc yako.. Ni kitendo cha sekunde moja
Kwa njia hii lazima uwe na simu yenye whatsapp.. Contacts zako zote groups na kila kitu kinahamia kwenye pc yako.. Ni simple sana
Sekunde moja??? Hebu acha uongo mkuu!
Nishafanya zaidi ya mara moja hilo ndio maana nimekanusha hoja yako!Si ujaribu au?
Unachokanusha ni nini..?Nishafanya zaidi ya mara moja hilo ndio maana nimekanusha hoja yako!
Zote zinafanya kazi ni kama umetoa photokopy.. Ukituma meseji inatokea kote kote.. Though sijaifuatilia sana kama kuna option ya ku unable nyingine.. Mengine utayajua mwenyewe maujanja yako tuSo unakuwa na access kwenye PC na simu kwa namba moja au ya kwenye simu inakua dormant?
Nishafanya zaidi ya mara moja hilo ndio maana nimekanusha hoja yako!
Zote zinafanya kazi ni kama umetoa photokopy.. Ukituma meseji inatokea kote kote.. Though sijaifuatilia sana kama kuna option ya ku unable nyingine.. Mengine utayajua mwenyewe maujanja yako tu
Exactly, you seem to be very smart! nimependa attitude yako haswaa tokana na jinsi ulivyoweza kurespond.Mambo ya "relativity" hayo mkuu, najua umemuelea jamaa aliposema sekunde moja ila umeamua kumpa changamoto kiutani tu.
Exactly, you seem to be very smart! nimependa attitude yako haswaa tokana na jinsi ulivyoweza kurespond.
Ha haa!!! Kaka hii mambo mimi huwa sithubutu kujaribu ..whatsaap web naishukulu na pia naichukia
bwana wewe nili acces na namba ya Wifi yenu nilichokiona sikisahau nimekoma
Unachokanusha ni nini..?
Kusema "sekunde moja" ni matumizi tu ya lugha... Ni kama myu akikuambia ningoje hapo dakika sifuri nakuja.. Au mtu akikuambia nipe dakika moja sio kwamba ni dakika moja au dakika sifuri kama alivyosema ina inawakilisha uharaka wa kitendo... Kiswahili tu ndugu hicho usitafsiri direct.
Au ukiambiwa hashimu ni tolu kama mnazi wewe utawlewa kuwa hasheem thabiti analingana na mnazi???? Jibu
Nishafanya zaidi ya mara moja hilo ndio maana nimekanusha hoja yako!
whatsaap web naishukulu na pia naichukia