Unaweza kutumia ila inatakiwa iwe katika format ya FAT/FAT32, itasoma music files, videos na images, kwa ps3 yakawaida ambayo si jailbroken. kwa zilizo JB unaweza kuhifadhi games kwenye usb drives na external HDD na mengineyo mengi..................................