Mkuu, Nimekaa sana nafatilia hilo swala, Hela ya kula Sina, Nimeamua Kurudi Nyumbani Tu,Dogo uko mkoani unapiga simu? Unategemea mtu ashughulikie suala lako? Funga safari nenda mguu Kwa mguu , jicho Kwa jicho, umalize suala lako. Ofisi nyingi za kibongo zinataka ufuatiliaji wa Karibu. Utanishukuru. Kila la kheri.
Pole mkuuMimi ni mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza Hapa UDSM, nasoma LLB,
Mwaka wangu hapa chuoni umekuwa mchungu kimasomo, Loan Board wamenilipia Tsh 400500 pekee kati ya 150000, ya ada kwa mwaka.
Hali iliyofanya nishindwe kufanya mtihani wa UE semester ya kwanza, Sasa nimefatilia kuomba Special Exams, Kwa wakuu wa Idara, bahati mbaya majibu yamekuwa Negatively, Kiufupi wameninyima special licha ya kueleza matatizo yaliyonikuta ya kifedha, (nimeandika barua ya special Mara mbili)
Yote, hayo, sijakata tamaa nimeamua kuandika barua ya Kurudia mwaka, Yani nianze Kama fresher Mwakani 2022/2023, Bahati mbaya majibu bado sijarudishiwa Na nipo Mkoani kila nikiwapigia simu, wananijibu majibu.
Wasiwasi wangu ni kwamba Ikiwa majibu ya kukubaliwa kurudia mwaka yasipokuwa mazuri itamaanisha nitakuwa nimeDISCO, kwakuwa sikufanya mitihani wa semester ya kwanza.
Au kuna utaratibu mwingine?
Akili zako mgando ninawasiwasi hata primary hukusoma. Mwenzako kasema yote haya yanatokea kwasababu hana Ada wewe unasema angeenda mzumbe inamana mzumbe wanafundisha bure au??.Pole sana mkuu, tatizo mnachagua vyuo kwa mihemuko wakati uwezo hamna iyo course mbn ata mikoani wanatoa mfano mzumbe mbeya ungeishi fresh tu sifa zinawaponza.
Ushauri nenda bodi ya mikopo kawaelekeze kila kitu, wasiliana kwanza na loan officer wa chuo kwenu andika barua ya Ku post pone mwaka kupitia kw cr adi ifike kwa mkuu wa chuo huwa hawaondoki kimya na ukifanya ivo ina maana umedisko cha kufanya ni kwenda TCU wafute jina uanze mchakato upya good luck.
😁Bongo hii kwahiyo mzumbe angesoma bure auPole sana mkuu, tatizo mnachagua vyuo kwa mihemuko wakati uwezo hamna iyo course mbn ata mikoani wanatoa mfano mzumbe mbeya ungeishi fresh tu sifa zinawaponza.
Ushauri nenda bodi ya mikopo kawaelekeze kila kitu, wasiliana kwanza na loan officer wa chuo kwenu andika barua ya Ku post pone mwaka kupitia kw cr adi ifike kwa mkuu wa chuo huwa hawaondoki kimya na ukifanya ivo ina maana umedisko cha kufanya ni kwenda TCU wafute jina uanze mchakato upya good luck.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] Humu jamiiforum imeingiliwa kitambo na watu wa Facebook mtu hasomi Mada anakurupuka tu kulaumu na kukomenti[emoji16]Bongo hii kwahiyo mzumbe angesoma bure au
😁😁nchi ngumu sana hii[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] Humu jamiiforum imeingiliwa kitambo na watu wa Facebook mtu hasomi Mada anakurupuka tu kulaumu na kukomenti
Batches za Mikopo huja baada ya Selection za vyuo mkuu, Huwezi kujua Utapangiwa mkopo au lah, By the way Mwaka huu Loan Board wametufanyia mambo Ajabu sanaPole sana mkuu, tatizo mnachagua vyuo kwa mihemuko wakati uwezo hamna iyo course mbn ata mikoani wanatoa mfano mzumbe mbeya ungeishi fresh tu sifa zinawaponza.
Ushauri nenda bodi ya mikopo kawaelekeze kila kitu, wasiliana kwanza na loan officer wa chuo kwenu andika barua ya Ku post pone mwaka kupitia kw cr adi ifike kwa mkuu wa chuo huwa hawaondoki kimya na ukifanya ivo ina maana umedisko cha kufanya ni kwenda TCU wafute jina uanze mchakato upya good luck.
Nikienda TCU, wanaifute kwenye system, Itabidi Niombe chuo upya, na mkopo upya, Ambayo itanibidi kulipa 25% ya Mkopo niliyotumia, Hela Sina Mkuu,Pole sana mkuu, tatizo mnachagua vyuo kwa mihemuko wakati uwezo hamna iyo course mbn ata mikoani wanatoa mfano mzumbe mbeya ungeishi fresh tu sifa zinawaponza.
Ushauri nenda bodi ya mikopo kawaelekeze kila kitu, wasiliana kwanza na loan officer wa chuo kwenu andika barua ya Ku post pone mwaka kupitia kw cr adi ifike kwa mkuu wa chuo huwa hawaondoki kimya na ukifanya ivo ina maana umedisko cha kufanya ni kwenda TCU wafute jina uanze mchakato upya good luck.
Nimekuuliza swali hujanijibu...Ukiacha hiyo 400500 ya bodi ambayo kwa semester inahesabiwa 200,000 ww umelipa kiasi gani maana najua LLB ni 750,000+ Direct costs 97,400.Nikienda TCU, wanaifute kwenye system, Itabidi Niombe chuo upya, na mkopo upya, Ambayo itanibidi kulipa 25% ya Mkopo niliyotumia, Hela Sina Mkuu,
Maana ilitakiwa ulipe 647,400 ili kufanya UE.Nimekuuliza swali hujanijibu...Ukiacha hiyo 400500 ya bodi ambayo kwa semester inahesabiwa 200,000 ww umelipa kiasi gani maana najua LLB ni 750,000+ Direct costs 97,400.
Nimelipa ada yote ya semester but, kwa kuchelewa, Ndio maana nikaomba specialNimekuuliza swali hujanijibu...Ukiacha hiyo 400500 ya bodi ambayo kwa semester inahesabiwa 200,000 ww umelipa kiasi gani maana najua LLB ni 750,000+ Direct costs 97,400.
Sasa Hapo Andika Barua Ya Kupostpone Semester 1 Uipeleke Department ii Mwezi Wa 11 Urudi Kama Fresher na Uendelee Kupata Mkopo Wako Bila Kulipa Ata Hamsini Maana Ada Ushalipa Tayari...Kwa Msaada Zaid Unaweza Ukanicheki WhatsApp 0759745422.Nimelipa ada yote ya semester but, kwa kuchelewa, Ndio maana nikaomba special
Yani ushalipa ada yote na bado wanakukazia pole sana dogo! Ungetakiwa tu kuomba ku postpone af mwezi wa 11 urudi tena kusoma kama first year! Af mbona semester ya pili ndo inaelekea kuisha ila unazungumzia mambo ya semester 1?? Pole tena mdogo angu Mungu atakusaidia yatapita!Nimekuuliza swali hujanijibu...Ukiacha hiyo 400500 ya bodi ambayo kwa semester inahesabiwa 200,000 ww umelipa kiasi gani maana najua LLB ni 750,000+ Direct costs 97,400.