Nawezaje kusoma Advanced Diploma kutokea form six?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,062
Habari za asubuhi wakuu.
Sina uelewa kuhusu points zinazohitajika kusoma kozi za afya kwa wanaotokea form six.
Naombeni mnieleweshe hapa, nina rafiki yangu kamaliza form six anataka asome higher dilpma kwa kozi za afya.

Naombeni pia mnijuze ni vyuo gani vinatoa hio level ili huyu ndugu afanye utaratibu wa kusoma.
Ninafahamu AMO (assistant medical officer) inatolewa katika level ya higher diploma. Je bado ipo?
Inachukua mda gani kusoma?
Ni kweli hiki cheo cha AMO kimefutwa?, nilisikia fununu ila sina uhakika.

Pia naomba mniambie kozi nyingine za afya zinazotolewa katika hiyo level ya higher diploma tuchakarike tuzipiganie fursa kabla umri haujamtupa mkono huyu ndugu.

Na kwa kweli anapenda sana kozi za afya ila kinachomshinda TCU ni ushindani so anaamin huko higher diploma anaweza kufika mbali.

Naombeni msaada jamani kabla siku hazijaisha.
 
Advanced diploma in clinical medicine(AMO) inatolewa kwa Clinical officers tu.
...Na wenye job experience isiyopungua miaka mitatu kazini.
....Kama bado una ndoto za kusoma AMO anza kwanza na ordinary diploma ya clinical medicine hujachelewa..
Then utafanya AMO mbele ya safari.
 
eti pale UDOM wanatoa hiyo higher diploma kwa sisi tuliomaliza form six au ni wapi wanapoitoa pengine msaada..
 
Wewe bwana mdogo utaweza kweli kuwa med personnel?

Ameshakwambia hiyo inatolewa kwa C.Os tu lakini bado unamuuliza wakati wewe ni form six
 
C.Os ndio nin maana..?
basi naomba unijuze hiyo advanced diploma wanasoma watu wenye vigezo gani kiongozi...mim ni wa arts HKL sio sayans
 
Clinical officer ni diploma ya Medicine wanasoma watu wenye PCB na inachukua miaka mitatu...
Ni course ngumu kidogo ila ukibahatika kuimaliza unakula mema ya nchi.
Narudia tena....Form six hawezi kusoma AMO
 
kwa sisi wa arts tuliomaliza form six pia tunafanyaje kuweza kuisoma advanced diploma?
 
Advance diploma kwanza lazima uwe na ordinary diploma ...... h uwezi kusoma advance diploma wakati ndio kwanza umemaliza sekondari yako form six
 
mimi nina Chet cha teaching nina muda wa miaka mitatu nimesom HGK nina div 3 points 16 can i apply higher dip?
 
Hivi si nilisikia kuwa ADVANCE DIPLOMA zimefutwa hapa Tanzania?!
 
Advanced diploma in clinical medicine(AMO) inatolewa kwa Clinical officers tu.
...Na wenye job experience isiyopungua miaka mitatu kazini.
....Kama bado una ndoto za kusoma AMO anza kwanza na ordinary diploma ya clinical medicine hujachelewa..
Then utafanya AMO mbele ya safari.
iyo odinary diploma in clinical oficer inachukua mda.gani mkuu na ni shingap na ni vyuo gani vya serikar unaweza pata PCB kapat EEE mwak huu anaomba msaada
 
Habari za asubuhi wakuu.
Sina uelewa kuhusu points zinazohitajika kusoma kozi za afya kwa wanaotokea form six.
Naombeni mnieleweshe hapa, nina rafiki yangu kamaliza form six anataka asome higher dilpma kwa kozi za afya.

Naombeni pia mnijuze ni vyuo gani vinatoa hio level ili huyu ndugu afanye utaratibu wa kusoma.
Ninafahamu AMO (assistant medical officer) inatolewa katika level ya higher diploma. Je bado ipo?
Inachukua mda gani kusoma?
Ni kweli hiki cheo cha AMO kimefutwa?, nilisikia fununu ila sina uhakika.

Pia naomba mniambie kozi nyingine za afya zinazotolewa katika hiyo level ya higher diploma tuchakarike tuzipiganie fursa kabla umri haujamtupa mkono huyu ndugu.

Na kwa kweli anapenda sana kozi za afya ila kinachomshinda TCU ni ushindani so anaamin huko higher diploma anaweza kufika mbali.

Naombeni msaada jamani kabla siku hazijaisha.

Advance diploma ni sawa na bachelor degree kama ilivyo ordinary diploma na form 6 ,hivyo ukisoma advance diploma na ukitaka kuendelea unasoma masters na mara nyingi advance diploma wanasoma wenye ordinary diploma .
 
pamoja mkuu ila naskia hii advanced diploma itafutwa sababu haitambuliki kimataifa?
lakin kinachonichanganya kuna dada mmoja mbongo alisema kasoma higher diploma uingereza sasa hii inanichanganya,
 
nawashukuru wote kwa majibu yenu mazuri Mungu awabariki mmenifunua akili nilikua sijui kama form six pcb mwenye e zote yan physic e. chemistry e na biology e anasoma diploma.
thanks you.
 
Habari za asubuhi wakuu.
Sina uelewa kuhusu points zinazohitajika kusoma kozi za afya kwa wanaotokea form six.
Naombeni mnieleweshe hapa, nina rafiki yangu kamaliza form six anataka asome higher dilpma kwa kozi za afya.

Naombeni pia mnijuze ni vyuo gani vinatoa hio level ili huyu ndugu afanye utaratibu wa kusoma.
Ninafahamu AMO (assistant medical officer) inatolewa katika level ya higher diploma. Je bado ipo?
Inachukua mda gani kusoma?
Ni kweli hiki cheo cha AMO kimefutwa?, nilisikia fununu ila sina uhakika.

Pia naomba mniambie kozi nyingine za afya zinazotolewa katika hiyo level ya higher diploma tuchakarike tuzipiganie fursa kabla umri haujamtupa mkono huyu ndugu.

Na kwa kweli anapenda sana kozi za afya ila kinachomshinda TCU ni ushindani so anaamin huko higher diploma anaweza kufika mbali.

Naombeni msaada jamani kabla siku hazijaisha.
MKUU HAKUNA ADV. DIPLOMA TENA NI CERTIFICATE, DIPLOMA NA DEGREE TU
 
Back
Top Bottom