Nawezaje kurudisha text niliyofuta

Nawezaje kurudisha text niliyofuta

mpiga era

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,078
Reaction score
2,269
Kama kichwa kinavyojieleza nimejikuta nafuta text muhimu sana kutoka CRDB naomba mwenye uelewa nawezaje kuwafanya wanirudishie ni sms ya kawaida kupitia no ya simu
 
Kwangu simu pale ulipofuta mkuu

CC Zero IQ
 
Kama kichwa kinavyojieleza nimejikuta nafuta text muhimu sana kutoka CRDB naomba mwenye uelewa nawezaje kuwafanya wanirudishie ni sms ya kawaida kupitia no ya simu
Piga simu customer care...omba wa resend hiyo msg..wala usipate wasiwasi
 
Back
Top Bottom