hellow wana jamvi naomba mwenye uelewa jinsi ya kurudisha system apps zilizo futwa katka sim aina ya huawei.....nimerajiru ku fanya restore default lakini hiki ndo naletewa na haiendelei kufanya chochote... msaada tafadhali

inaonekana uliroot simu yako ukapata access ya kuremove bloatware(system apps ) hata mimi liliwahi kunikuta sasa chakufanya ni kutafuta custom rom na kuiflash