I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,694
- 2,996
Wewe ndiye uliyezingua. Tena umezingua sana siyo kidogo. Hivi ni kwanini mwanaume aliyekupenda akakuvumilia mda wote mkiwa chuo bila sex ulimsaliti, ukaenda kumpatia Tunda kimasihara mwanaume uliyejuana naye wiki moja tu???Miaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia
Nimetumia ID mpya ili nisijulikane
Nikiwa na huo umri ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanaume yaani mpk namaliza chuo sikuwai kushiriki sex nilijitunza sana nikitamani nami niingie kwenye ndoa nikiwa bikira.. sio kwamba siku na mahusiano nilikuwa nayo ila yalikuwa yale ya no sex till marriage
Niseme tu bahatii mbaya nilikutana na Kijana ambae alikuwa ametoka kuajiliwa ana miezi kama miwili tangu apate ajira nikajikuta nimeanzisha nae mahusiano ghafla sijui ni nini kilitokea ila nilijikuta nimempenda ghafla sana.. ndani ya wiki moja akaniita geto kwake ambalo alikuwa analitumia weekend maana alikuwa anakaa kambini…
Kwa mara ya kwanza nikashiriki nae sex na siku hiyohiyo mimba ikaingia kitu ambacho sikukitarajia maana nilikuwa siku salama I mean nilibakiza siku 3 niingie hedhi… ukweli nilichanganyikiwa sana sio kidogo nikiangalia sina kazi nakaa kwetu nyumbani kwenyewe kula mtihani ubaya zaidii huyu Kama simfahamu nimekutana nae wiki moja tu kiufupi ilikuwa Kama pigo kwangu..cha ajabu zaidi kijana tupo age moja na nilipomwambia tu Nina mimba alianza kunipa da kitu ambacho kilifanya nimchukie nikiamini kuwa ameniharibia maisha yangu.. kilichoniudhi zaidii yule kaka alienda kuwaambia ndugu zake wote Mimi nina ujauzito wake, nikawa sina namna ikabidi nimshirikishe ndugu yangu aisee kitu cha kwanza aliniambia niitoe kijana nae akawa haelewekii leo anasema nitoe kesho anasema nisitoe yeye atalea.. kimbembe kikaja kwa ndugu zake wakawa wanamwambia kuwa inawezekana mimba siyo yake nimemsingizia kwasababu nimeona ana kazi ikafikia hatua ndugu zake wananiambia niitoe maana naweza kutelekezwa mara waseme namdangia ndugu yao kitu ambacho kiliniuma sana
Nikawa sina msaada wowote zaidii ya mwanaume alikubali kulea mimba ile akawa anahudumia akafungua account benk kiufupi alikuwa anaonesha nia japo pesa zake ni ukiomba utasubirishwaa sanaa yaani kila siku ni ahadi.. nyumbani wote waligomaa hawataki kusikia kuhusu mimi hapo tayari mimba ina week 3 nikawa sasa nimechanganyikiwa nikiwaza mtu ninaezaa nae muda wowote atanigeukaa jamii nayo itanionajee yaani kelele zikawa nyingi mwishoni nikaona bora nisikilize wengi nikaamua kufanya abortion ikiwa na wiki 3 sikumwambia yule Kijana mpk ilipofika miezi 2 ndio nilimwambia imetoka sikusema Kama niliitoa tuligombana sana akanitukana sana akisema nimeitoa.. nikashikilia msimamo wangu kuwa sijaitoa imetoka basi yule kijana akaniambia Kama kweli hivyo anataka tena anipe mimba nyingine maana yeye alishawaambia ndugu zake.. Mimi nikawa nazungusha tu,, tuligombana kila siku na yeye ndio alikuwa mkorofi nikaona atakuja kuniua nikamwambia tuachane alikuwa king’ang’anizi kiasi kwamba akaanza kunitukana nilichofanya nikabadili namba
Sasa kilichonileta hapa ni kuwa amerudi tena anahitaji tuwe wote ila Sharti analonipa ili aniamini anahitaji tuzae wote tena na tukaishi pamoja.. nilichomjibu ni kuwa haiwezekani akitaka tuoane ndio tuzae ila kwa kazi yake muda wa kuoa bado haujafika… Sasa amekuwa akinisumbua sana turudiane ila mimi naogopa asije kuwa anataka kulipa kisasi… tangu tuachane ni Miaka imepita na Mimi sijawah tena kujiingiza na mahusiano nilishaomba toba kwa mwenyezi Mungu na Nina imani nimesamehewa Sina mwanaume yoyote wala sikuwai kukutana na mwanaume mwingi baada yake
Ushaurii wenu nifanyaje
Nimetumia fake ID ili nipate ushaurii kwa uhuru
Acha umbea mpe ushauriUmejitahidi kujificha ila bado nimekujua, haha. Siku hizi twitter uliacha kutumia..?
😂😂😂😂Miaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia

Una Ujinga flani hivi..JitambueMiaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia

Mtu kaamua kubadili id bado unamfatafata.Umejitahidi kujificha ila bado nimekujua, haha. Siku hizi twitter uliacha kutumia..?
Ashindwe yeye tuKabisa tupo wengi sana
Wewe ndiye uliyezingua. Tena umezingua sana siyo kidogo. Hivi ni kwanini mwanaume aliyekupenda akakuvumilia mda wote mkiwa chuo bila sex ulimsaliti, ukaenda kumpatia Tunda kimasihara mwanaume uliyejuana naye wiki moja tu???
Achana nae uyo jamaa hana maamuzi anaendeshwa na ndugu zake
ogopa watu wa namn iyo
Word...Amegundua wewe ndio mwanamke sahihi kwake ila kuna hayo mliyopitia pamoja huko nyuma.. Sasa mkishaingia kwenye ndoa na kuzoeana siku ukitokea ugomvi mdogo tu makaburi yote yatafukuliwa!
Makinika! Baki na msimamo wako! Usirudi nyuma! Uliyoyaona huko nyuma kwake na kwa ndugu zake yakupe fundisho lisilosahaulika
Sasa mpaka ndugu zake wamekueleza hilo, unahitaji nini tena kusikia kuhusu huyo jamaa?Huyu simuwezi yaani kitu kidogo anawaambia ndugu zake… dada yake tu aliniambia kama unataka kuteseka basi zaa nae labda kama nikubali kuzaa nae ila nilee peke angu ni kama mvuta bangi
Duh!...kwani umekaribia kufa?Naogopa kufa single
Huyo kaka hakupendi ila kagundua huna msimamo,hamna kazi ambayo hawaruhusu kuoa zamani ilikuwa jeshiMiaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia
Nimetumia ID mpya ili nisijulikane
Nikiwa na huo umri ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanaume yaani mpk namaliza chuo sikuwai kushiriki sex nilijitunza sana nikitamani nami niingie kwenye ndoa nikiwa bikira.. sio kwamba siku na mahusiano nilikuwa nayo ila yalikuwa yale ya no sex till marriage
Niseme tu bahatii mbaya nilikutana na Kijana ambae alikuwa ametoka kuajiliwa ana miezi kama miwili tangu apate ajira nikajikuta nimeanzisha nae mahusiano ghafla sijui ni nini kilitokea ila nilijikuta nimempenda ghafla sana.. ndani ya wiki moja akaniita geto kwake ambalo alikuwa analitumia weekend maana alikuwa anakaa kambini…
Kwa mara ya kwanza nikashiriki nae sex na siku hiyohiyo mimba ikaingia kitu ambacho sikukitarajia maana nilikuwa siku salama I mean nilibakiza siku 3 niingie hedhi… ukweli nilichanganyikiwa sana sio kidogo nikiangalia sina kazi nakaa kwetu nyumbani kwenyewe kula mtihani ubaya zaidii huyu Kama simfahamu nimekutana nae wiki moja tu kiufupi ilikuwa Kama pigo kwangu..cha ajabu zaidi kijana tupo age moja na nilipomwambia tu Nina mimba alianza kunipa da kitu ambacho kilifanya nimchukie nikiamini kuwa ameniharibia maisha yangu.. kilichoniudhi zaidii yule kaka alienda kuwaambia ndugu zake wote Mimi nina ujauzito wake, nikawa sina namna ikabidi nimshirikishe ndugu yangu aisee kitu cha kwanza aliniambia niitoe kijana nae akawa haelewekii leo anasema nitoe kesho anasema nisitoe yeye atalea.. kimbembe kikaja kwa ndugu zake wakawa wanamwambia kuwa inawezekana mimba siyo yake nimemsingizia kwasababu nimeona ana kazi ikafikia hatua ndugu zake wananiambia niitoe maana naweza kutelekezwa mara waseme namdangia ndugu yao kitu ambacho kiliniuma sana
Nikawa sina msaada wowote zaidii ya mwanaume alikubali kulea mimba ile akawa anahudumia akafungua account benk kiufupi alikuwa anaonesha nia japo pesa zake ni ukiomba utasubirishwaa sanaa yaani kila siku ni ahadi.. nyumbani wote waligomaa hawataki kusikia kuhusu mimi hapo tayari mimba ina week 3 nikawa sasa nimechanganyikiwa nikiwaza mtu ninaezaa nae muda wowote atanigeukaa jamii nayo itanionajee yaani kelele zikawa nyingi mwishoni nikaona bora nisikilize wengi nikaamua kufanya abortion ikiwa na wiki 3 sikumwambia yule Kijana mpk ilipofika miezi 2 ndio nilimwambia imetoka sikusema Kama niliitoa tuligombana sana akanitukana sana akisema nimeitoa.. nikashikilia msimamo wangu kuwa sijaitoa imetoka basi yule kijana akaniambia Kama kweli hivyo anataka tena anipe mimba nyingine maana yeye alishawaambia ndugu zake.. Mimi nikawa nazungusha tu,, tuligombana kila siku na yeye ndio alikuwa mkorofi nikaona atakuja kuniua nikamwambia tuachane alikuwa king’ang’anizi kiasi kwamba akaanza kunitukana nilichofanya nikabadili namba
Sasa kilichonileta hapa ni kuwa amerudi tena anahitaji tuwe wote ila Sharti analonipa ili aniamini anahitaji tuzae wote tena na tukaishi pamoja.. nilichomjibu ni kuwa haiwezekani akitaka tuoane ndio tuzae ila kwa kazi yake muda wa kuoa bado haujafika… Sasa amekuwa akinisumbua sana turudiane ila mimi naogopa asije kuwa anataka kulipa kisasi… tangu tuachane ni Miaka imepita na Mimi sijawah tena kujiingiza na mahusiano nilishaomba toba kwa mwenyezi Mungu na Nina imani nimesamehewa Sina mwanaume yoyote wala sikuwai kukutana na mwanaume mwingi baada yake
Ushaurii wenu nifanyaje
Nimetumia fake ID ili nipate ushaurii kwa uhuru
Ukiweka condition akuoe ndo mzae, sahau kupata mtoto. Mtansubiri sana lakini hatakuja, mkihurumiwa sana atakuja kwa kuchelewa sana . Kumbuka wote hamkuwa mnamtaka huyo mtoto ndo maana ya toa, usitoe. Tumbo la uzazi linatunza kumbukumbu. Wewe sasa hivi ukizaa ni kwa kupitia kwa mtu tofauti ambaye hakuwa kwwnyw hiyo kadhia ya kutoa mimba ila huyo wa sasa naye yumo. Mkifunga ndoa ndo kabisa mtoto hatakuja. Cha msingi anza mwanzo mpya na mwanaume kutoka kwa Bwana asiye na historia yako utapata mtoto. Ukimrudia huyo kwa hizo condition utanikumbuka sanaMiaka michache nyuma nikiwa na Miaka 23 ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika chuo kikuu cha mzumbe kwa bahati mbaya nilijiingiza kwenye upuuzi ambao mpk Leo naujutia
Nimetumia ID mpya ili nisijulikane
Nikiwa na huo umri ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanaume yaani mpk namaliza chuo sikuwai kushiriki sex nilijitunza sana nikitamani nami niingie kwenye ndoa nikiwa bikira.. sio kwamba siku na mahusiano nilikuwa nayo ila yalikuwa yale ya no sex till marriage
Niseme tu bahatii mbaya nilikutana na Kijana ambae alikuwa ametoka kuajiliwa ana miezi kama miwili tangu apate ajira nikajikuta nimeanzisha nae mahusiano ghafla sijui ni nini kilitokea ila nilijikuta nimempenda ghafla sana.. ndani ya wiki moja akaniita geto kwake ambalo alikuwa analitumia weekend maana alikuwa anakaa kambini…
Kwa mara ya kwanza nikashiriki nae sex na siku hiyohiyo mimba ikaingia kitu ambacho sikukitarajia maana nilikuwa siku salama I mean nilibakiza siku 3 niingie hedhi… ukweli nilichanganyikiwa sana sio kidogo nikiangalia sina kazi nakaa kwetu nyumbani kwenyewe kula mtihani ubaya zaidii huyu Kama simfahamu nimekutana nae wiki moja tu kiufupi ilikuwa Kama pigo kwangu..cha ajabu zaidi kijana tupo age moja na nilipomwambia tu Nina mimba alianza kunipa da kitu ambacho kilifanya nimchukie nikiamini kuwa ameniharibia maisha yangu.. kilichoniudhi zaidii yule kaka alienda kuwaambia ndugu zake wote Mimi nina ujauzito wake, nikawa sina namna ikabidi nimshirikishe ndugu yangu aisee kitu cha kwanza aliniambia niitoe kijana nae akawa haelewekii leo anasema nitoe kesho anasema nisitoe yeye atalea.. kimbembe kikaja kwa ndugu zake wakawa wanamwambia kuwa inawezekana mimba siyo yake nimemsingizia kwasababu nimeona ana kazi ikafikia hatua ndugu zake wananiambia niitoe maana naweza kutelekezwa mara waseme namdangia ndugu yao kitu ambacho kiliniuma sana
Nikawa sina msaada wowote zaidii ya mwanaume alikubali kulea mimba ile akawa anahudumia akafungua account benk kiufupi alikuwa anaonesha nia japo pesa zake ni ukiomba utasubirishwaa sanaa yaani kila siku ni ahadi.. nyumbani wote waligomaa hawataki kusikia kuhusu mimi hapo tayari mimba ina week 3 nikawa sasa nimechanganyikiwa nikiwaza mtu ninaezaa nae muda wowote atanigeukaa jamii nayo itanionajee yaani kelele zikawa nyingi mwishoni nikaona bora nisikilize wengi nikaamua kufanya abortion ikiwa na wiki 3 sikumwambia yule Kijana mpk ilipofika miezi 2 ndio nilimwambia imetoka sikusema Kama niliitoa tuligombana sana akanitukana sana akisema nimeitoa.. nikashikilia msimamo wangu kuwa sijaitoa imetoka basi yule kijana akaniambia Kama kweli hivyo anataka tena anipe mimba nyingine maana yeye alishawaambia ndugu zake.. Mimi nikawa nazungusha tu,, tuligombana kila siku na yeye ndio alikuwa mkorofi nikaona atakuja kuniua nikamwambia tuachane alikuwa king’ang’anizi kiasi kwamba akaanza kunitukana nilichofanya nikabadili namba
Sasa kilichonileta hapa ni kuwa amerudi tena anahitaji tuwe wote ila Sharti analonipa ili aniamini anahitaji tuzae wote tena na tukaishi pamoja.. nilichomjibu ni kuwa haiwezekani akitaka tuoane ndio tuzae ila kwa kazi yake muda wa kuoa bado haujafika… Sasa amekuwa akinisumbua sana turudiane ila mimi naogopa asije kuwa anataka kulipa kisasi… tangu tuachane ni Miaka imepita na Mimi sijawah tena kujiingiza na mahusiano nilishaomba toba kwa mwenyezi Mungu na Nina imani nimesamehewa Sina mwanaume yoyote wala sikuwai kukutana na mwanaume mwingi baada yake
Ushaurii wenu nifanyaje
Nimetumia fake ID ili nipate ushaurii kwa uhuru
😂😂😂💦nimechoka kwani kuna binti anasoma hii post, halafu ataenda kufanya mapenzi leo bila kinga wakati anajua kabisa kwamba mzunguko wake ni kama wa Konokono, haueleweki! Leo yuko kwenye siku zake, kesho zimeisha, kesho kutwa zimerudi! Ukishabeba mimba zamani nilikuwa sina cha kumwambia zaidi ya kusema pole!