Nipe maelekezo vzr bos maana na mimi nina samsung iko slow sana nahitaji kuirootfaida ya kuroot ni kuweza kutumia heavy apps ambazo huwez kutumia bila kuroot...
unaweza kuroot either kwa pc au kuweka su file kweny sd na kuintroduce su file kweny systm manually au kwa kudownload 3rd part app ambayo itaweka su file kweny systm automatically
ukiroot unaweza ukaboost ram na kumove app kweny sd hata zile app ambazo hua hazikubali kuamishwa kwenye sd. hvyo kufanya device isiwe slow. jinsi ya kuroot inategemeana na aina ya simu.Nipe maelekezo vzr bos maana na mimi nina samsung iko slow sana nahitaji kuiroot
Unaweza kunitajia hizo heavy apps na matumizi yake?faida ya kuroot ni kuweza kutumia heavy apps ambazo huwez kutumia bila kuroot...
unaweza kuroot either kwa pc au kuweka su file kweny sd na kuintroduce su file kweny systm manually au kwa kudownload 3rd part app ambayo itaweka su file kweny systm automatically
Shukrani mkuuhasara ya kuroot ni kwamba ukikosea aina ya su file kuna uwezekano wa kusababisha simu yako kuzima majumla. so kwa wale wanaogoogle msiamini njia zote kwan su files nyingine sio nzuri
inategemea na aina ya simu. njia nzuri ni kuinstall su file manually kwa kuwasha simu ukiwa umepress home button, volume down button na power on button. then unachagua su file uliloweka kwenye sd card yako.Shukrani mkuu
Ungetupa hizo njia za kuroot ili tusiingie chaka
Kaka nichek whatsap unipe maelekezo pls 0755957515 maana pm kwangu hakufunguki muda sasainategemea na aina ya simu. njia nzuri ni kuinstall su file manually kwa kuwasha simu ukiwa umepress home button, volume down button na power on button. then unachagua su file uliloweka kwenye sd card yako.
nitumie pm aina yako ya simu na model yake nikutafutie su file yake kwan ukiweka file sio simu haiwaki.
poa.Kaka nichek whatsap unipe maelekezo pls 0755957515 maana pm kwangu hakufunguki muda sasa
Umeroot kwa kutumia nini mkuu. Hebu nijuze nami nifanye hayo mautundu. Nimetumia Kingroot imegoma.Me nimeiroot simu yangu ya boom j8 sasa nataka kuupadate hios lakin inagoma, inamaana simu ikiwa rooted ile system iliokujanayo inakuwa haifunction tena???
ukiroot unaua warrant ya simu so baadhi ya functions na features utakua huzipati kama kuupdate android software kutoka kweny market wanayoprovide hyo simuMe nimeiroot simu yangu ya boom j8 sasa nataka kuupadate hios lakin inagoma, inamaana simu ikiwa rooted ile system iliokujanayo inakuwa haifunction tena???
Itakua Throu Pc.Umeroot kwa kutumia nini mkuu. Hebu nijuze nami nifanye hayo mautundu. Nimetumia Kingroot imegoma.
Bado!Marshmallow for J8 imeshatoka?