Nawezaje kuridhika na mwanamke mmoja?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,020
Habari wanajamii forum.
Nimekua sitosheki na mwanamke mmoja hata nimpende vipi, yani tena nikishamzoea ndo naona kero kabisa natamani kumuacha au kumuongezea mwanamke mwingine.
Nimekua na hamu sana ya kutoka na wanawake wengi ili kubadilisha ladha na raha ya tendo lenyewe.

Kwa wale wenye mahusiano ya mda mrefu/ndoa naombeni mnisaidie mmewezaje kudumu na wenzenu kwa muda mrefu?
Mmekutana na changamoto kama hizi au mmechepuka?

Nikikaa na mwanamke muda mrefu hamu ya ngono inaisha.
 
UNASHINDANA NA ULIKO TOKA ENDELEA PATAKURUDISHA MDA SI MREFU
 
ukiacha kujiendekeza endapo unaona kuwa tabia hio si njema.

uka Set mind yako kuwa naacha sasa natulia na mwanammke mmoja.

usitegemee kuna dawa ya maji au ya barafu au mchanga itakusaidia ni mind yako tu ndio msaada pekee na unaotosha.

hapo unaposema "SIWEZI" ndio tatizo lenyewe..Whole point
Kama utaweza kugeuza siwezi ,ikawa "Naweza" kila kitu kitakaa mahala pake
 
Habari wanajamii forum.
Nimekua sitosheki na mwanamke mmoja hata nimpende vipi, yani tena nikishamzoea ndo naona kero kabisa natamani kumuacha au kumuongezea mwanamke mwingine.
Nimekua na hamu sana ya kutoka na wanawake wengi ili kubadilisha ladha na raha ya tendo lenyewe.

Kwa wale wenye mahusiano ya mda mrefu/ndoa naombeni mnisaidie mmewezaje kudumu na wenzenu kwa muda mrefu?
Mmekutana na changamoto kama hizi au mmechepuka?

Nikikaa na mwanamke muda mrefu hamu ya ngono inaisha.
ukikua utaacha maliza kwanza shule
 
Kunywa shubiri yenye mchanganyiko Wa maji ya ukwaju mbichi kisha changanya na ndulele.hilo pepo litatoka utatulia na wako.
 
Hiyo ni asili ya watu walio wengi mkuu, kinachotakiwa ni kujidhibiti (self control).

Ni sawa na zawadi ambayo imefungwa kabla haijafunguliwa unakuwa na hamu ya kujua nini kipo ndani ukishaona kuwa ni kikombe ule mzuka unashuka mpaka inakuwa kawaida.
Au ukipata kitu kipya (nguo, Simu na vinginevyo) unakuwa na hamu ya kukitumia sana kwa kipindi fulani cha mwanzoni baada ya muda inakuwa kawaida tu au hata kero kwako.

Ndio maana mapenzi watu wanashauriwa wafanye vitu tofauti tofauti kila wakati (vilivyo ndani ya maadili ya kijamii na kiimani) ili kuendeleza ile suspense (nimekosa neno zuri la kiswahili) ambayo inamfanya mwingine kutamani kujua kwamba atakapokutana na mwenzie kuna lipi jipya.

Hivyo jitahidi kujidhibiti mwenyewe pia tengeneza mazingira ya kufanya penzi lenu lirudi utotoni (rejuvenation) kila wakati
 
Wivu, tamaa na njaa..ukiendekeza jua kidole utakaa - Madee

Mkuu ridhika na ulie nae
 
Nadhani nimekuzidi maana Mimi Niko kwa ndoa miaka karibia minne ila dah

Sio kwa michepuko nadhani hata saba wanafika na kila demu nikidu na Mara saba na kuendelea dah sory nakuwa sina hamu nao

Inanifanya nishindwe kabisa kwa nao zaidi ya mwaka na nusu

Habari wanajamii forum.
Nimekua sitosheki na mwanamke mmoja hata nimpende vipi, yani tena nikishamzoea ndo naona kero kabisa natamani kumuacha au kumuongezea mwanamke mwingine.
Nimekua na hamu sana ya kutoka na wanawake wengi ili kubadilisha ladha na raha ya tendo lenyewe.

Kwa wale wenye mahusiano ya mda mrefu/ndoa naombeni mnisaidie mmewezaje kudumu na wenzenu kwa muda mrefu?
Mmekutana na changamoto kama hizi au mmechepuka?

Nikikaa na mwanamke muda mrefu hamu ya ngono inaisha.
Wewe uko sawa nabmimi

Nenda kwa mzee wa kuita watu KIA atakupa ushauri maana ushahidi umeonyesha ndiye mchepukaji.
 
Nashauri jitahid kuamua kuacha na uchukue hatua mathubuti UACHE
Uamuzi ni wako
Lkn pia aina ya mwanamke unayekuwa naye anakubana kiasi gani
Niliwahi kuwa na wanawake wengi mpk 8 kwa wakati mmoja maana walikuwa hawajuani na wala sihangaiki nao ila walikuwa wakinitafuta/ Mimi kuwatafuta nikiwa na shida
Sasa huyu niliyenaye du, anakaba balaa,
Off course niliamua kuacha ila huyu niliyenaye namchezesha kiduku mara kwa mara mpk yey anasema napenda sana kudo, na kuna siku alinibania nikataka kwenda kwa Dada mwingine alijitongozesha walikuja kikazi nami nikasaidiana nao, ilivyogudua malengo yangu aliumia na akalia tokea hapo hanibanii tena ila sasa si kwa kunibana huko.
Akikuta kuna elements za mtongozano na demu mwingine lzm huyo do apigwe biti kweny cm na aelejezwe.
Ndugu yangu nakuombea uache kuwa na wanawake wengi, ni gharama sana, na hatari ya kuambukizwa magonjwa ya ajabu yumkini hata ukimwi( Mimi nilinusurika kudo na mdada mweny ukimwi kwa sababu aliamua kunambia, by then nilikuwa chuo flan tbr kama mkufunzi) ni hatari sana,nikikumbuka eti ningekuwa nakunywa ARVs duuuu
Jamaa angu chonde chonde tosheka na huyo mmoja, rudia rudia huyo huyo kwa style tofauti na uwe mbunifu ktk mapenzi utaona unabakiwa na mmoja.
 
Back
Top Bottom