Habari wadau wa technology!?
Nina moderm ya zantel na vodacom! Moderm ya zantel inaweza kuandika namba na kupiga na pia kupokea calling ikiwa kwenye laptop.
Moderm ya vodacom haina hiyo service ila ningetamani niweze kufanya hivyo kuendana na shughuli zangu.
Je, wadau wa technology kuna namna yoyote ninaweza kufanya ili niweze kupiga na kupokea simu kupitia moderm ya vodacom kwenye laptop?
Nawasilisha kwenu wakuu