sir elinaz
New Member
- Jan 23, 2023
- 3
- 0
Mimi ni Mwl grade A,
Ndoto yangu ni kupata elimu nje ya Tanzania mfano Kenya, Rwanda ama Sudani; Je, elimu za wenzetu zipoje, na wanazingatia nini, vigezo vya kujiunga vipoje hasa elimu ya uongozi?