Nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma?

Nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma?

bright pledge 255

Senior Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
140
Reaction score
172
Nimemeliza clinical medicine mwaka jana chuo kipo kanda ya ziwa, nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma.
 
Sio kweli transcript inatolewa na nacte kupitia web yao unalipia then wanakutumia kupitia ofisi za jiran ulipo
Baada ya kulupia mm nilikaa wiki moja nikapigiwa sim nikaenda mby zonal office kuchukua
asante ndugu, waweza nidokeza kidogo details wanazotaka kujaza ili nizicollect
 
Sio kweli transcript inatolewa na nacte kupitia web yao unalipia then wanakutumia kupitia ofisi za jiran ulipo
Baada ya kulupia mm nilikaa wiki moja nikapigiwa sim nikaenda mby zonal office kuchukua
All i know transcript ni ile inaonesha masomo yako na ufaulu hua inaambatana na cheti chako husika na inatolewa chuo na pia inalipiwa.

So this is something new am hearing
 
Transcript za nacte zinatolewa zonal offices zilzochaguliwa..inachukua mida kama wiki mpaka wiki mbili kutoka..
 
All i know transcript ni ile inaonesha masomo yako na ufaulu hua inaambatana na cheti chako husika na inatolewa chuo na pia inalipiwa.

So this is something new am hearing
Utaratibu ni huo aliokuambia jamaa..unaomba online unalipia elfu 10 kama unachukulia Dar es salaam na elfu 15 kama nje ya Dar na baada ya wiki 1 au 2 utapigiwa au kutumiwa ujumbe ukafuate.
 
Back
Top Bottom