Rahimu kiwani
Member
- Jun 14, 2022
- 58
- 47
Wakuu nimemaliza certificate two in level three ktk course ya electrical engineering naomba msaada wa kupata scholarship ya diploma ya umeme mwenye kufahamu jinsi ya kupata naomba tufahamishane ahsanteni .
Nisaidie web site yaoKuna scholarship ya india mkuu
Message +91 6265 248 982.Mussa mule.huyu jamaa anasoma hicho chuo mcheki whatsup atakupa a ,b c na website ya chuoni anaposoma ! ni mbongo mtu wa mwanza anasoma law pale.Nisaidie web site yao
AhsanteMessage +91 6265 248 982.Mussa mule.huyu jamaa anasoma hicho chuo mcheki whatsup atakupa a ,b c na website ya chuoni anaposoma ! ni mbongo mtu wa mwanza anasoma law pale.
kaka ulimpata !?.Ahsante
Nilimpata lakini gharama zake nimeshindwa maana ni nyingi ukifananisha na za kwetu hapa unakuta bora tu usome hapahapakaka ulimpata !?.
Aaah aiseee ..kama.1.8m alinambia mimi kwa mastazi.au tafuta nchi jirani kama uganda na kenya .mfano makerere na nairobi universty.Nilimpata lakini gharama zake nimeshindwa maana ni nyingi ukifananisha na za kwetu hapa unakuta bora tu usome hapahapa
Kwani hakuna uwezekano wa wewe kusoma online electrical engineering Vyuo vya nje?Wakuu nimemaliza certificate two in level three ktk course ya electrical engineering naomba msaada wa kupata scholarship ya diploma ya umeme mwenye kufahamu jinsi ya kupata naomba tufahamishane ahsanteni .
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
Mwenye anafahamu atakuja kutupa muongozoMm mwenyewe natafuta, ukifanikiwa tujulishane