Nawezaje kupata laptop yangu iliyobiwa..

Nawezaje kupata laptop yangu iliyobiwa..

Mc Chijui

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
30
Reaction score
1
Habari zenu wanajf. Hv naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia maujanja jinsi ya kuirudisha laptop iliyoibiwa au hata kumtambua mwizi wangu.. unaweza hata kunipm au kuanika hapa jamvini.
 
hiyo mzee ni ngumu,unless kama ulikuwa umeinstall tracking software au ume embedd gps chip kwenye motherboard ya laptop au laptop yenyewe ingekuwa iko equipped na tracking technology.
 
Back
Top Bottom