Okay wakuu, nimejaribu kudownload hizo setup kwenye pc maana nahitaji kufanya update ya driver kwenye pc lakini naona hizo nilizodownload zina mambo ya kulipia.
Sasa nauliza je kama kuna njia nyingine ya kupata hizo driver booster na driver pack for free?
Utadownload mavirus tu, una ishu gani ambayo inahitaji drivers tofauti? 99% windows itadownload drivers za kifaa chochote yenyewe , 1% iliyobaki kama una device haipati drivers nenda kwenye website ya mtengeneza hicho kifaa download huko

Hakikisha baada ya ku"install" windows una"update" hiyo windows, unaweza kutumia gb 1, kama mzigo utakuwa bado ongeza gb 1 nyingine ili kuepuka usumbufu.
Hizo driver booster ni mzigo tu na kujaza local disk ya windows
aad Mkuu maelezo ya kufany installation huwa yapo katika file humo humo, au kama utaweza screenshot content zilizomo baada ya kulifungua nitajua hapo usome kipi ili ufanye installation mpak licensing.