Nawezaje kupata Bluetooth kwenye PC (Kompyuta)?

Baraba

Member
Jan 2, 2015
62
27
Natumia laptop lakini nashindwa kurusha material yangu kama picture na document kutoka kwenye simu kwenda kwenye laptop. Kwa sababu sioni option ya bluetooth kwenye laptop nawezaje kupata hiyo bluetooth kwenye computer. Natumia DELL
 
inauzwa shilingi 5000 tu,
Mini_Bluetooth_USB_Dongle_VA_699_672.jpg

ila bluetooth ipo slow sana siku hizi hata kuhamishia vitu ni kazi, kwanini usitumie wifi? tengeneza hotspot connect na laptop download app yoyote ya kuhamisha vitu na wifi halafu tumia.

search store ya simu yako andika wifi transfer
 
Mkuu msaada baada ya ku- update pc toka windows 7 kwenda 10, wifi imepotea, kuna namna yoyote kuirudisha au software mbadala.!
 
itakuwa ni driver tu, toka u update kwenda windows 10 umeshafanya windows update? au unaweza kuzidownload driver manual toka site ya computer yako
 
inauzwa shilingi 5000 tu,
Mini_Bluetooth_USB_Dongle_VA_699_672.jpg

ila bluetooth ipo slow sana siku hizi hata kuhamishia vitu ni kazi, kwanini usitumie wifi? tengeneza hotspot connect na laptop download app yoyote ya kuhamisha vitu na wifi halafu tumia.

search store ya simu yako andika wifi transfer
Ila Bluetooth ina kazi nyingi sio hiyo tuu
 
Back
Top Bottom