Bepari la Kinyambo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,223 Reaction score 1,523 Nov 11, 2021 #1 Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,596 Reaction score 112,316 Nov 11, 2021 #2 Bepari la Kinyambo said: Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89 Click to expand... Unatafuta kifo, uzito unaendana na umri na kimo. Hizo kilo ulizonazo unatakiwa upunguze 9 ubaki na 80 tu.
Bepari la Kinyambo said: Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89 Click to expand... Unatafuta kifo, uzito unaendana na umri na kimo. Hizo kilo ulizonazo unatakiwa upunguze 9 ubaki na 80 tu.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,517 Reaction score 185,649 Nov 12, 2021 #3 Mimi nahitaji kupunguza aisee nimeongezeka hadi sio poa!!
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,331 Reaction score 9,542 Nov 12, 2021 #4 mahondaw said: Mimi nahitaji kupunguza aisee nimeongezeka hadi sio poa!! Click to expand... Una ngapi mrembo?
mahondaw said: Mimi nahitaji kupunguza aisee nimeongezeka hadi sio poa!! Click to expand... Una ngapi mrembo?
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,281 Reaction score 7,956 Nov 12, 2021 #5 Bepari la Kinyambo said: Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89 Click to expand... Sasa mauzito yote hayo ya nn mkuu , au mpenzi wako kakwambia anapenda uwe bonge Kujitafutia matatizo tu
Bepari la Kinyambo said: Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89 Click to expand... Sasa mauzito yote hayo ya nn mkuu , au mpenzi wako kakwambia anapenda uwe bonge Kujitafutia matatizo tu
All TRUTH JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 5,452 Reaction score 2,575 Nov 13, 2021 #6 Bepari la Kinyambo said: Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89 Click to expand... Dah Dunia sio fea kabisa Mimi nawaza kupungua sana Wewe unawaza kuongeza
Bepari la Kinyambo said: Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89 Click to expand... Dah Dunia sio fea kabisa Mimi nawaza kupungua sana Wewe unawaza kuongeza