Aina ya simu ni Samsung c-5, nikiwasha data hata nisipofungua App yeyote matangazo yanatokeaWeka aina ya simu na model, na je ukiwasha data na usipofungua app yoyote hayo matangazo hutokea?
Hzo ni virus ambazo zishaathiri system files ambapo zikipata acces ya internet huzalisha ads. Solution hapo ni kuwipe data and cache ikiwa tatzo litaendelea inabidi ufanye reinstallation.Aina ya simu ni Samsung c-5, nikiwasha data hata nisipofungua App yeyote matangazo yanatokea
je whatsapp yako ilumeifunga kwa kutumia progran za kufunga mafaili kama app lock, vault n.k?Hi naomba msaada ni jinsingani ya kuondoa matangazo yanayokuja kila mara kwenye simu yangu yani kuna pop up kila napotaka kuangalia videonau picha kwenye whatsapp masaada please
Mkuu tumia magisk manager kiboko ya rootJinsi ya kuroot Tecno spark 5 pro naombeni msaada