Cheki huu mfano hapa
HAPA
then hapo kwenye mabano ya ( )
badili yawe [ ]
hapo ningeweka moja kwa moja
mabano ya [ ] ucngeona,
badala yake ungeona neno HAPA
hlf hilo neno litakuwa
highlighted na ukilibonyeza
lingekupeleka jamiiforums
nadhani nime eleweka jaribu
then uniweke hapa nione kama
umeweza!