Nawezaje kulipia galaxy apps

bishoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Posts
274
Reaction score
52
Ni mgeni kidogo kwenye matumizi ya tablets na smart phones. Nimebahatika kupata moja na nimeona kuwa zipo apps za bure na za kulipia, mfano radio nk. Ninajua humu jamvini kuna wazoefu wa mambo haya naomba msaada kama nataka kulipia apps nizipendazo hasa za android mchakato uko vipi?
Nashukuru kwa mchango wa mawazo.
 
register tu bank atm card iwe inafanya manunuzi ya internet.

kwenye manunuzi utahitajika
1. card no (hizi ni nambari 16 za mbele za kadi)

2. card name ( majina yako matatu)

3. expire date (kama inavyoonekana kwenye card

4. verification code (hizi ni herufi tatu nyuma ya kadi)

then utanunua unachotaka.

make sure unanunua playstore tu
 

Sante sana kwa maelekezo na tahadhari.
 

Ubarikiwe wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…