Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Sep 8, 2018 #41 Shunie said: Simu yako unawaogopa watu kuleft kwenye group hakuna njia yeyote ya kutoonekana lazima wajue ukileft Click to expand... Labda amtafute Mshana Jr atamsaidia ampe dawa ya kutoonekana
Shunie said: Simu yako unawaogopa watu kuleft kwenye group hakuna njia yeyote ya kutoonekana lazima wajue ukileft Click to expand... Labda amtafute Mshana Jr atamsaidia ampe dawa ya kutoonekana
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Sep 8, 2018 #42 rwechunguraa said: Wapi nimeandika nakimbia madeni . Watz itatuchukua muda mrefu kufika uchumi wa kati Click to expand... mkuu hilo ni swali? wewe ndio unaturudisha nyuma kufika huo uchumi wa kati kushindwa kujibu nilichokuuliza boss
rwechunguraa said: Wapi nimeandika nakimbia madeni . Watz itatuchukua muda mrefu kufika uchumi wa kati Click to expand... mkuu hilo ni swali? wewe ndio unaturudisha nyuma kufika huo uchumi wa kati kushindwa kujibu nilichokuuliza boss
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 Sep 8, 2018 #43 Shunie said: Simu yako unawaogopa watu kuleft kwenye group hakuna njia yeyote ya kutoonekana lazima wajue ukileft Click to expand... Hii ni sawa na kulia chakula gizani kwa kumuogopa jirani
Shunie said: Simu yako unawaogopa watu kuleft kwenye group hakuna njia yeyote ya kutoonekana lazima wajue ukileft Click to expand... Hii ni sawa na kulia chakula gizani kwa kumuogopa jirani
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 8, 2018 #44 Thad said: Hii ni sawa na kulia chakula gizani kwa kumuogopa jirani Click to expand... Eti unaogopa watu watanionaje
Thad said: Hii ni sawa na kulia chakula gizani kwa kumuogopa jirani Click to expand... Eti unaogopa watu watanionaje
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,604 Reaction score 73,982 Sep 8, 2018 #45 Shunie said: Hahaha kwahiyo huyu michango ndio inamkimbiza mpaka anataka kuleft asionekane Click to expand... hahahaa waulizia fisi shinyanga
Shunie said: Hahaha kwahiyo huyu michango ndio inamkimbiza mpaka anataka kuleft asionekane Click to expand... hahahaa waulizia fisi shinyanga