Nawezaje kuleft kwenye group

Hapa ni kwamba unamwambia abadili no bado haujamsaidia
 
Hakuna solution
Hizi ni zama za ukweli na uwazi
 
Nitumie njia gani kuleft kwenye magroup ya WhatsApp bila member kujua kama nimeleft

Watukane wote tusi la ' Kutukuka ' halafu wenyewe watarahisisha tu safari yako kuondoka huko ili ukaendelee na Upopoma wako Kwingineko.
 
Watukane wote tusi la ' Kutukuka ' halafu wenyewe watarahisisha tu safari yako kuondoka huko ili ukaendelee na Upopoma wako Kwingineko.
Umewashwa na nini kuja kuchangia, watu kama nyie ndio mnatakiwa Mombasa .
 
Kaa tu kimya kimya , usijibu msg zao wala usipost chochote, lakini kusema ku left kimya kimya hiyo kitu hakuna lazima watajua member wengine
 

Hakikisha unapazima hapa alafu leave the group hawatapata notification labda mtu aamue kukutafuta kupitia ile list ya member wote wa group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…