Nawezaje Kuhamia Tiba Asili?

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,409
Wakuu

Kwa miaka mingi nimekuwa mfuasi mzuri wa tiba za kibeberu/kizungu zinazohusisha madawa yenye kemikali (namaanisha haya madawa tunayonunua famasi na mahospitalini km panado na znginezo).

Kwa sasa nataka kuvua gwanda kwa kuacha matumizi ya madawa haya ya kemikali na kuhamia kwenye mitishamba.

Kwa kuanzia nimepunguza matumizi ya vitu vyenye kemikali mfano juisi na soda na vingine vya mwelekeo huo.

Je mwili utakubali? hasa ukizngatia kwa miaka kibao nimetumia haya makemikali ?

Kwa wenye uzoefu wa hili mnasemaje?
 
utakubali la msingi dawa mbadala uzijue ama uende kwa watu wanaozijua hasa hawa watu wa tiba mbadala ambao kwasasa wanatibu vzuri sana na wana doze inayoeleweka tofauti na ile ya nyuma unaambiwa chemsha majani ya mwarobaini unywe kikombe kimoja
 
hongera sana, tupo pamoja katika hizo harakati. Utaweza kuvumilia uchungu wa dawa za miti shamba?
 
hongera sana, tupo pamoja katika hizo harakati. utaweza kuvumilia uchungu wa dawa za miti shamba?
mkuu ikumbukwe si miti au majani yote ni machungu maana hata dawa za viwandani ndivyo hivyo hivyo kwahiyo usiogope
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom