TUMSUMINGULIVI Member Joined Sep 22, 2024 Posts 14 Reaction score 106 Sep 26, 2024 #1 Natarajia kuja kuishi Dodoma mjini Mwakani na Kugombea ubunge 2025.. Wana JF nipeni mbinu nawezaje pata ubunge pale Dodoma kupitia CCM
Natarajia kuja kuishi Dodoma mjini Mwakani na Kugombea ubunge 2025.. Wana JF nipeni mbinu nawezaje pata ubunge pale Dodoma kupitia CCM
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,519 Reaction score 32,674 Sep 26, 2024 #2 Labda kama una undugu wa Damu na SAMIA au una Fedha kama Rostam.
TUMSUMINGULIVI Member Joined Sep 22, 2024 Posts 14 Reaction score 106 Sep 26, 2024 Thread starter #3 Econometrician said: Labda kama una undugu wa Damu na SAMIA au una Fedha kama Rostam. Click to expand... Hela Kuoa mtoto wa Samia😋😋😋 Kuwa MTanzania Raha Sana
Econometrician said: Labda kama una undugu wa Damu na SAMIA au una Fedha kama Rostam. Click to expand... Hela Kuoa mtoto wa Samia😋😋😋 Kuwa MTanzania Raha Sana
M.Rutabo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 1,048 Reaction score 2,765 Sep 26, 2024 #4 Muulize Antony Mavunde na hv nikijana kabisa tena waziri wa madini ilo jimbo mpaka 2040 ndo mtegemee kuona sura mpya.
Muulize Antony Mavunde na hv nikijana kabisa tena waziri wa madini ilo jimbo mpaka 2040 ndo mtegemee kuona sura mpya.
TUMSUMINGULIVI Member Joined Sep 22, 2024 Posts 14 Reaction score 106 Sep 26, 2024 Thread starter #5 M.Rutabo said: Muulize Antony Mavunde na hv nikijana kabisa tena waziri wa madini ilo jimbo mpaka 2040 ndo mtegemee kuona sura mpya. Click to expand... Nina mbinu ya kumzeesha😈😈😈aachie jimbo
M.Rutabo said: Muulize Antony Mavunde na hv nikijana kabisa tena waziri wa madini ilo jimbo mpaka 2040 ndo mtegemee kuona sura mpya. Click to expand... Nina mbinu ya kumzeesha😈😈😈aachie jimbo
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 10,291 Reaction score 4,967 Sep 26, 2024 #6 Uwe mgogo
M.Rutabo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 1,048 Reaction score 2,765 Sep 26, 2024 #7 TUMSUMINGULIVI said: Nina mbinu ya kumzeesha😈😈😈aachie jimbo Click to expand... Yule kaisha otesha mizizi Dodoma utawaambia kitu kwa huyo kijana. Nenda kondoa, Bahi,mpwapwa,Chamwino au Kongwa unaweza kufikiliwa sio Hapo mjini.
TUMSUMINGULIVI said: Nina mbinu ya kumzeesha😈😈😈aachie jimbo Click to expand... Yule kaisha otesha mizizi Dodoma utawaambia kitu kwa huyo kijana. Nenda kondoa, Bahi,mpwapwa,Chamwino au Kongwa unaweza kufikiliwa sio Hapo mjini.
TUMSUMINGULIVI Member Joined Sep 22, 2024 Posts 14 Reaction score 106 Sep 26, 2024 Thread starter #8 ILAN RAMON said: Uwe mgogo Click to expand... Patamuuuuu Hapaaa mie nilizani supu ya ng'ombe kumbe churaaa Ukabila Dili kiasi hicho😂😂
ILAN RAMON said: Uwe mgogo Click to expand... Patamuuuuu Hapaaa mie nilizani supu ya ng'ombe kumbe churaaa Ukabila Dili kiasi hicho😂😂
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,083 Sep 26, 2024 #9 Siasa kazi sana
TUMSUMINGULIVI Member Joined Sep 22, 2024 Posts 14 Reaction score 106 Sep 26, 2024 Thread starter #10 Numbisa said: Siasa kazi sana Click to expand... Wanadodoma Nasikia wanapenda Sana kutengeneza Historia "Nitafanikiwa kuwa Mgeni wa Kwanza kuongoza Dodoma Mjini"
Numbisa said: Siasa kazi sana Click to expand... Wanadodoma Nasikia wanapenda Sana kutengeneza Historia "Nitafanikiwa kuwa Mgeni wa Kwanza kuongoza Dodoma Mjini"
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,709 Reaction score 25,488 Sep 27, 2024 #11 TUMSUMINGULIVI said: Nina mbinu ya kumzeesha😈😈😈aachie jimbo Click to expand... Unataka kumpiga kipapai?
TUMSUMINGULIVI said: Nina mbinu ya kumzeesha😈😈😈aachie jimbo Click to expand... Unataka kumpiga kipapai?
TUMSUMINGULIVI Member Joined Sep 22, 2024 Posts 14 Reaction score 106 Sep 27, 2024 Thread starter #12 kyagata said: Unataka kumpiga kipapai? Click to expand... Sio Kipapai - Ni kiongozi anavyotaka kufanya jambo lazima yeye hawe hivyo... Ana hela za mzee baba inabidi awe mzeee.. Tuchukue Jimbo 2025
kyagata said: Unataka kumpiga kipapai? Click to expand... Sio Kipapai - Ni kiongozi anavyotaka kufanya jambo lazima yeye hawe hivyo... Ana hela za mzee baba inabidi awe mzeee.. Tuchukue Jimbo 2025