Nawezaje kufungua account PayPal na ikawa verified

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
2,997
4,166
Wadau habarini, mwenye idea ya jinsi yakufungua account ya paypal kwa Tanzania na pia iwe verified kama wenzetu wa Kenya..
 
Unaweza kufungua na kuverify.

Ila kuna features huwezi zipata.
 
Kwauelewa wangu (sina uhakika) ili ufungue account PayPal lazima watahitaji taarifa zako nyingi, kuanzia unapoishi, namba ya account ya bank, security number (itoshe kusema taarifa za bank kwaujumla) jina lako halisi, email, birthday. Taarifa zote hizi wanazihitaji ili kuku_verify wewe kama mteja wao. Ukishajaza taarifa zote, wanatuma taarifa kwenye email kwauthibitisho zaidi.
 
Nenda katika kitufe cha signup kisha jaza kwa usahihi bila kuafikiana na taarifa na benk yako.Utakapojaza card yako ya bank watakata $1 ili uweze kuveryfy itahitajika upate code ambazo zitakuwa katika bank statement ya huo muamala.
 
Back
Top Bottom