Nawezaje Kufahamu idadi ya cylinders za gari

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,408
Reaction score
1,334
Wadau nimekutana na hii kitu mara nyingi hasa kwenye showrooms unaambiwa gari hii ni cylinder 4 ile cylinder 6 na kadhalika.

Kwangu ni kizungumkuti, naomba kufahamishwa jinsi ya kutambua kwa harakaharaka na uhakika kama gari iliyo mbele yangu ni ya cylinders ngapi?
 
Fungua bonet, angalia pale kwenye injini, hesabu zile nyaya za spark plug. idadi ya plug ndio idadi ya cylinder za gari yako
 
Unamchanganya tu mwenzio..cylinder hazijui halafu tena unamuongezea msamiati mwingine...spark plug...subiri kama hajakuuliza ''hizo spark plug'' ziko tairi la mbele au nyuma!.....halafu pia gari za diesel hazitumii spark plug........
 
Injini ya Harier iko tofauti kidogo ukiangalia kwa juu ziko tatu kwa chini ziko tatu jumla ni sita so ukiangalia haraka utajua gari ina cylinder tatu

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Unamchanganya tu mwenzio..cylinder hazijui halafu tena unamuongezea msamiati mwingine...spark plug...subiri kama hajakuuliza ''hizo spark plug'' ziko tairi la mbele au nyuma!.....halafu pia gari za diesel hazitumii spark plug........

Ni kweli mkuu bado hii kitu inachanganya
 
Fungua bonet, angalia pale kwenye injini, hesabu zile nyaya za spark plug. idadi ya plug ndio idadi ya cylinder za gari yako

Usikariri kuna gari zina plug mbilimbili per cylinder....kaangalie mercedes benz c240 ina 6 cylinder plugs 12.
 
Ni kweli mkuu bado hii kitu inachanganya

Muulize Google maswali kama hayo atakuonyesha na jinsi mipangilio ya cylinders kwa injini tofauti tofauti, na hata jinsi zinavyofanya kazi.
 
Back
Top Bottom