Kwa Windows Vista na Windows 7 hawajaweka Lugha ya kiswahi huwezi kupata. Ila kwa Windows XP wameweka lugha ya kiswahili hii hapa
Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP Download bonyeza hapa Maelezo ya upakuaji: Kiolesura Fungasha Kiswahili
List of languages supported in Windows 2000, Windows XP, and Windows Server 2003 Installing East Asian Language Support under Windows Vista
Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003 (Microsoft Office 2003) bonyeza hapa Maelezo ya upakuaji: Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003
Mkuu bado wewe upo na Windows Vista? kwanini huendi Windows 7, ina option unaweza kutumia hiyo Windows 7 na windows XP kwa wakati Mmoja ona hapaBarikiwa sana Mkuu!
Toleo: | 1.0 |
Tarehe Iliyochapishwa: | 14/01/2011 |
Lugha: | Kiswahili |
Saizi ya Upakuaji: | 2.5 MB - 6.5 MB* |
*Saizi ya upakuaji inategemea vijenzi vilivyochaguliwa vya kupakuliwa. | |
Badili Lugha: |
Jina la Jalada: | Saizi ya Jalada | |
---|---|---|
LIP_sw-KE-32bit.mlc | 2.5 MB | |
LIP_sw-KE-64bit.mlc | 4.0 MB |
Microsoft Office Language Interface Pack 2010 Kiswahili Ufafanuzi Mfupi Microsoft Office Language Interface Pack 2010 Kiswahili hutoa kiolesura cha mtumiaji cha Kiswahili kwa programu nyingi za Microsoft Office 2010. Kwenye Ukurasa Huu Maelezo ya Haraka Muhtasari Mahitaji ya Mfumo Maagizo Nyenzo Zinazohusiana Yale Wengine Wanapakua Maelezo ya Haraka
Muhtasari Microsoft Office Language Interface Pack 2010 Kiswahili hutoa kiolesura cha mtumiaji cha Kiswahili kwa:
Mahitaji ya Mfumo
Maagizo Ili kusakinisha kipakuzi hiki:
Maagizo ya kutumia: Ili kubadilisha Kiolesura cha Mtumiaji chako hadi katika Microsoft Office Language Interface Pack 2010 Kiswahili, fuata hatua hizi:
Dokezo: Msaada hauwezi kubadilishwa katika Microsoft Office Language Interface Pack 2010 Kiswahili. Msaada utabaki kila wakati katika lugha asilia ya usakinishaji wako. Kila wakati weka msaada wa uonyesho wako katika orodha kunjuzi hadi katika lugha msingi. Ili kuondoa kipakuzi hiki:
Ikiwa huwezi kuona maudhui ya faili ya CHM baada ya kuipakua, unaweza kuendesha hatua zifuatazo zitakazokuwezesha kutazama maudhui:
Majalada kwenye Upakuaji Huu Viungo katika sehemu hii hulingana na majalada ya kando yanayopatikana katika upakuaji huu. Pakua majalada yanayokufaa.
Nyenzo Zinazohusiana Yale Wengine Wanapakua Wengine waliopakua Microsoft Office Language Interface Pack 2010 Kiswahili walipakua pia: |
Simamia Maelezo yako Mafupi |Wasiliana Nasi ©2012 Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. Wasiliana Nasi |Kanuni za Matumizi |Alama za biashara |Taarifa ya Siri |
Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista
Ufafanuzi Mfupi Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) hutoa toleo lililofasiriwa nusu la Kiolesura cha Mtumiaji cha maeneo yanayotumika sana ya Windows Vista Kwenye Ukurasa Huu Maelezo ya Haraka Muhtasari Mahitaji ya Mfumo Maagizo Nyenzo Zinazohusiana Uhakikishaji Unahitajika Upakuaji huu unapatikana kwa wateja wanaodabiri Windows halisi ya Microsoft. Tafadahli bonyeza kitufe cha Endelea ili uanze kuhakikisha Windows. Kama ilivyofafanuliwa katika taarifa yetu ya siri ya Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Faida ya Windows Halisi. Maelezo ya Haraka
Muhtasari Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) cha Windows Vista hutoa toleo lililofasiriwa nusu la maeneo yanayotumika sana ya Windows. Baada ya kusanidi LIP, matini kwenye vigagula, vikasha ongezi, menyu, mada za Saidia na Auni, na vipengee vingine kwenye kiolesura cha mtumiaji huangazishwa katika lugha ya LIP. Matini ambayo hayajafasiriwa yatakuwa katika lugha msingi ya Windows Vista. Kwa mfano, kama ulinunua toleo la Kihispania la Windows Vista, na ukasanidi LIP ya Kikatalani, baadhi ya matini yatabaki katika Kihispania. Unaweza kusanidi zaidi ya LIP moja, kwa hivyo kila mtumiaji wa ngamizi anaweza kuangazisha kiolesura cha mtumiaji katika lugha yake anayetaka. Mahitaji ya Mfumo
Kiolesura cha mtumiaji katika lugha zinazofuata: Kiingereza Mb 4.63 ya nafasi wazi ya upakuzi Mb 15 ya nafasi wazi ya usanidi Jukwaa Zinazoauniwa: LIP hufanya kazi tu na matoleo ya biti-32 za Windows Vista na haziwezi kusanidiwa kwenye matoleo ya awali ya Windows au kwenye matoleo ya biti-64 za Windows Vista. Maagizo Upakuaji huu unapatikana kwa kudabiri Windows halisi ya Microsoft. Bonyeza kitufe cha Endelea katika sehemu ya Uhakikishaji Unahitajika ilio juu ili uanzee njia fupi njia ya kuhakikisha. Mara tu inapohakikishwa, utarudishwa kwa ukurasa huu na maagizo maalum ya kupata upakuaji. Nyenzo Zinazohusiana |
Simamia Maelezo yako Mafupi |Wasiliana Nasi ©2012 Microsoft Corporation. Haki zote zimehifadhiwa. Wasiliana Nasi |Kanuni za Matumizi |Alama za biashara |Taarifa ya Siri |