Wandugu katika nchi.... shida yangu kubadili user name yangu bila kufungua account mpya, nifanyeje?
Mtumie PM
Invisible pamoja na jina lako jipya unalotaka kutumia.
Afu tumia vizuri Option ya "Search" iliyowekwa na JF ili kuepusha thread nyingi zenye maana moja.
Search before Post
Last edited by a moderator: