TUC ndo wapi mkuu?Nenda TUC
Umekosea jirekebishe ni TCU[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] TUS
Nimekopi hapo mkuuNenda TUC
Ok pamoja xn nichekiNimekopi hapo mkuu
asante Mkuu ntakicheckKwani upo wapi kama upo dar nicheki nikupeleke TCU no yangu ni 0714721249
mkuu sikupata mkopo ila ntafuatiliaUlipata mkopo? Kama jibu ni ndio,Fanya hima uulipe wote ndipo upate nafasi nyingine ya kuomba.
Kuhusu chuo,nenda jengo la TCU mkabala na Mlimani watakupa maelekezo ya kufanya
Hivi huwa wanarudisha nusu au yote, ndio ufunguliwe mkopo mwingineUlipata mkopo? Kama jibu ni ndio,Fanya hima uulipe wote ndipo upate nafasi nyingine ya kuomba.
Kuhusu chuo,nenda jengo la TCU mkabala na Mlimani watakupa maelekezo ya kufanya
Ni wote mkuu! Siyo nusuHivi huwa wanarudisha nusu au yote, ndio ufunguliwe mkopo mwingine
Tazama ukilaza nilionao umezidi chochoteNenda TUC
Kukosea sio ukilaza iyo inaonesha kuwa mi Binadamu.Tazama ukilaza nilionao umezidi chochote
(TUC)
Mi sijasema umekosea mkuu, nimeandika kirefu cha chama ulichotaja apo juuKukosea sio ukilaza iyo inaonesha kuwa mi Binadamu.