Anadhani ni matapeli wa mjinilakini amedinda , katakata na ni kama haelewi .
Kwani si ufungue email nyingine tuAnadhani ni matapeli wa mjini
Bila shaka hiyo option anaijua ila email huwa zinabeba taarifa nyingi sana.Kwani si ufungue email nyingine tu
Hapana niliweka tu nambaBila shaka hiyo option anaijua ila email huwa zinabeba taarifa nyingi sana.
Hata mimi email yangu ina makitu yangu kibao, ikizingua huwa nafanya kila mbinu irudi.
Kwani mkuu mcTobby hukuweka recovery email?? Huwa kuna hiyo option ya kupata verification kupitia email yako nyingine.
Duuh apo kipengele, muimbishe jamaa akutumie hizo code.Hapana niliweka tu namba
Usione wanakuambia hivyo wa tz wengi hawajajua umuhimu wa kutunza vitu kwenye email!, Mkuu lakini kuna option mbili zakupata msimbo sema ubovu huwenda hukufanya hiyo setting! unaweza kuziunga email mbili ama ktk namba yakupata msimbo ungeandika mbili!. hii husaidia sana.Of course nimefungua nyingine , ila ile ni ya muhimu sana kwangu mdau.
Kabisa mkuu, miaka hii email ni ya kuilinda.Binafsi niki badili simu sina haja ya kuhamisha vitu maana niki jaza email tu vitu vyangu vinarudi vyote .ivyo email ni muhimu sana ,
Surely .. ndio najaribu kumpigia nione kama tutafanikisha lakini bado hapokei.Usione wanakuambia hivyo wa tz wengi hawajajua umuhimu wa kutunza vitu kwenye email!, Mkuu lakini kuna option mbili zakupata msimbo sema ubovu huwenda hukufanya hiyo setting! unaweza kuziunga email mbili ama ktk namba yakupata msimbo ungeandika mbili!. hii husaidia sana.
Hapo kaa na huyo jamaa mlitatue na akikupa tu huo msimbo badili settings kwenye email yako chap.
kazi kubwa sana unayo hapo jamaa usikute linawaza wewe ni freemason..🤣Surely .. ndio najaribu kumpigia nione kama tutafanikisha lakini bado hapokei.
Unavyoniambia hapa upo sahihi asilimia 100. The only option ni hiyo ya ku settle hili swala na huyo mdau.Hutaweza ku login kama hutapata hizo code , otherwise kama upate device ambayo ulishawahi kuingia kwa hiyo e-mail yako. Chakufanya fanya mchakato uonane na huyo mwenye hiyo lain japo atakuwa kijijinj sana
Mimi ningekutoza hela tu ili nione upo serious kiasi gani hapo lazima ka ten kangekutoka ila kwa huyo jamaa hahahaha! hapo anaona sio tu unataka kumtapeli bali unaitaka na roho yake kabisa!, so vita inatoka kwenye msimbo mpk kufika hatua yakuanza kuvaa hirizi pumuzi...🤣Oyaa sio powa man inabid tu nicheke kujifariji😂