Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Kaka windows 10 haijatoka ila sasa hivi kuna preview ti kwa wale wanaopenda kutest. ni bure huna haja ya kuhangaika kutafuta full version na hata ikija ikitoka uta update bure kama una windows 7 au 8.
kupata windows 10 sasa hivi kwanza jiunge na windows insider program.
https://insider.windows.com
NB: updates ni kwa wanaotumia licenced copies. kama unatumia pirated copy jiandae kushikwa....
wadau msaada jinsi ya kupiga window 8 kwa kutumia cd je nitafanyaje na nataka kuweka window 8 kutoka window 7 kwenye laptop dellMkuu windows inasumbuaje? maana 99% wenye matatizo ni sisi na sio windows. pia windows 10 inapatikana official kwenye website ya Microsoft.
http://www.microsoft.com/en-us/software-download
Download Hapahabari wadau
natumia window 8.0 inasumbua sana now msaada nipate window 10
Chen kwenye hii site! Get into PC the nenda kipengele cha operating system check kuna windows xp vortex 3G red edition but unaweza Ku search windows hiyo unayoitaka hapo hapo!Nina shida Ya Windows XP pro bit-32 inayofanya kazi Maana nimejaribu kucheki torrent nimeambulia patupu (zote nilizopata hazikubali kuinstall). Naomba yoyote mwenye link ya Hii OS (inayofanya kazi) anisaidie.
Natanguliza Shukrani.
Windows 10 OS uwa zina 2 - 3.8 GBMkuu huwa zina ukubwa was GB ngap
Bila kulipia au ebu nielekeze umepitia wapi ndugu?Wakuu ivi Microsoft ndio wanatengenezaga windows all in one au? Maana nimedownload windows AIO ina GB 9.something imecontain
Windows 7 zote
Windows 8 zote
Windows 10 zote
Pamoja na Microsoft office zote
Na key za kufanyia activation kwa kila windows
Sasa nilikuwa nauliza ivi Microsoft ndio inafanyaga ivi au wajanja tu mjini
Sent using Jamii Forums mobile app