K KeXMO Member Joined Jul 25, 2021 Posts 20 Reaction score 0 Aug 2, 2021 #1 Natumai mko poa kabisa.. Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji
Natumai mko poa kabisa.. Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji
Gentleman96 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2019 Posts 912 Reaction score 1,674 Aug 2, 2021 #2 Cbm unajua ni nini? Ni ujazo wa cubic Yaani mita moja ya mraba! Hivyo basi kama una mzigo kwenye kontena kipimo ni eneo hilo la mraba
Cbm unajua ni nini? Ni ujazo wa cubic Yaani mita moja ya mraba! Hivyo basi kama una mzigo kwenye kontena kipimo ni eneo hilo la mraba
M Mkulungai Member Joined Jun 9, 2020 Posts 49 Reaction score 61 Aug 2, 2021 #3 cubic meter is calculated by multiplying length, width and height of packages of goods.
W wa ngaranga Member Joined Jun 12, 2020 Posts 91 Reaction score 202 Aug 2, 2021 #4 KeXMO said: Natumai mko poa kabisa.. Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji Click to expand... Cbm si inakua calculated kwa ile hesabu ya mstatiri boss kama sijakosea,wanafanya urefu x upana wa mzigo x1000 ndipo upate cbm
KeXMO said: Natumai mko poa kabisa.. Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji Click to expand... Cbm si inakua calculated kwa ile hesabu ya mstatiri boss kama sijakosea,wanafanya urefu x upana wa mzigo x1000 ndipo upate cbm
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,698 Reaction score 22,573 Aug 3, 2021 #5 KeXMO said: Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm Click to expand... #1. Taarifa 4 huwa zinatakiwa ili kupata CBM Urefu Upana Wima Uzito wa mzigo husika katika Kg #2. Baada ya kuwa na hizo taarifa #1 , Jaza kwenye hili jedwali kwenye hii link: CBM Calculator KeXMO said: kujua gharama ya usafirishaji Click to expand... Ili kujua ghalama za usafirishaji, Wasiliana na kampuni utakayotumia kusafirisha mzigo wako, Wape jibu utakalopata hapo kwenye calculator #2. #3. Kwa ufafanuzi wa kina zaidi tumia hii link: What Is CBM And How Do You Calculate It?
KeXMO said: Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm Click to expand... #1. Taarifa 4 huwa zinatakiwa ili kupata CBM Urefu Upana Wima Uzito wa mzigo husika katika Kg #2. Baada ya kuwa na hizo taarifa #1 , Jaza kwenye hili jedwali kwenye hii link: CBM Calculator KeXMO said: kujua gharama ya usafirishaji Click to expand... Ili kujua ghalama za usafirishaji, Wasiliana na kampuni utakayotumia kusafirisha mzigo wako, Wape jibu utakalopata hapo kwenye calculator #2. #3. Kwa ufafanuzi wa kina zaidi tumia hii link: What Is CBM And How Do You Calculate It?
Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,047 Reaction score 3,784 Aug 3, 2021 #6 wa ngaranga said: Cbm si inakua calculated kwa ile hesabu ya mstatiri boss kama sijakosea,wanafanya urefu x upana wa mzigo x1000 ndipo upate cbm Click to expand... HAPANA! Umekosea sahihi ni urefuxupanaxKimo Length x Width x Height = CBM
wa ngaranga said: Cbm si inakua calculated kwa ile hesabu ya mstatiri boss kama sijakosea,wanafanya urefu x upana wa mzigo x1000 ndipo upate cbm Click to expand... HAPANA! Umekosea sahihi ni urefuxupanaxKimo Length x Width x Height = CBM