BIOS PASSWORD RESET

caesar2014

New Member
Jul 11, 2015
3
2
habari wanajukwaa, msaada kwa anayejuajinsi ya kureset bios password kwenye laptop. achana na zile ambazo unatoa cmos battery then unarudisha ina reset.
 
Inategemea na PC yako. Kunal baadhi kuna jumper inabid uweke then ukiwasha image reset
 
model yake ni hp 9470m
kama ni mtundu(fundi), fungua pc, kwenye motherboard tafuta IC yenye maneno aya (mx 2534 au winbond 35242) , iyo ni bios chip (eeprom) inayotunza bios password, kuna njia ya kuiflash (electrical erasing-ipo kitabe zaidi) ila ku save mda unaitoa na kupachika IC nyingine (isiyo na password)

Bei zake zinagonga 30k ivi, nenda machinga complex block la kushoto ukitoka ilala boma, floor ya 3 kama sijakosea
 
Upon sahihi
 
Back
Top Bottom