Naweza tumia laptop Kama TV?

Naweza tumia laptop Kama TV?

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,689
Reaction score
2,859
Wakuu Nina kingamuzi cha Azam na Laptop yenye HDMI Port. Nikinunua wire wa HDMI nikaunganisha kutoka kwenye HDMI port ya kingamuzi hadi HDMI Port ya Laptop... Je nitaweza ona Matangazo ya Tv?
 
Wakuu Nina kingamuzi cha Azam na Laptop yenye HDMI Port. Nikinunua wire wa HDMI nikaunganisha kutoka kwenye HDMI port ya kingamuzi hadi HDMI Port ya Laptop... Je nitaweza ona Matangazo ya Tv?
hdmi port ya kwenye Laptop ni kwa ajili ya kutoa signals na sound kutoka kwenye laptop na kupeleka kwenye screen nyingine like Tv na si kuingiza signals kwenye Pc wakati hdmi ya kwenye decoder/receiver nayo inatoa na c kuingiza signals. Jibu lako ni HAPANA
 
Back
Top Bottom