Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Toka hii serikali ya awamu ya Tano ianze, kuna mambo mawili tu naweza ipongeza.
1. Tumesahau msamiati wa " mgao wa umeme". Hapa sijui wa kumpongeza ni JK au JPM maana mara ya mwisho mi kusikia mgao wa umeme ni 2015 kipindi cha uchaguzi ambao ulikuwa ukisababishwa na installations za mitambo ya uzalishaji wa umeme wa gesi. Sasa mi sikumbuki mara ya mwisho umeme ulikatika lini zaidi ya saa 1.
2. Tsh imepata heshima yake. Sasa yale maono kuwa jero tutaiita miatano na buku tutaiita elfu moja, imeanza kutimia. Zile kejeli za eti vijisenti vya mboga au laki si pesa vimepungua sana mtahani.
Kwenye viwanja vya starehee madada poa wamejipunguza bila shuruti. Hali imekuwa ngumu mpaka wametafta vyanzo vipya vya kutafta pesa.
Vitu kama nyumba, magari, mashamba yamepungua bei mpaka hta makapuku tunaweza afford ila tatizo pesa yenyewe haikamatiki.
TUENDELEE KUISOMA NUMBER KIMYA KIMYA.