Naweza kuweka mfumo huu kutumia media com receiver ?

Naweza kuweka mfumo huu kutumia media com receiver ?

kwa hiyo hili la fut3 cwez kupata hata chanel moja inayorusha game mbili za epl kwa wiki?

Ukimpata fundi mzuri anayejua kubalance signal kwa hilo utapata tv3 pale17°E pamoja na RDV palr Eutelsat 16°E kwa pamoja japo hawa jamaa wanarusha match moja moja sio km irib hawa irib ni full epl, UEFA, LA LIGA na mech zote muhim
 
ok,itabid ninunue dishi la ft6,thanx mkuu.
 
hivi kuna mtu anaweza nitajia Providers wa Pay tv hapa tanzania wanaotumia madish achana na TING,ZUKU,AZAM wengine ni wapi?
Naomba details zaidi wakubwa najua kuna startimes ila kama naiona eutelsat 10A kwenye lyngsat wakati wadau wanadai ipo ses5

Msaads
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom