Mkuu Kamundu,hii mashine Jaguar S Type ni kiboko.Its a machine of class, even in the US.
Lakini be careful, kama ni nia yako kutengeneza pesa hii gari hutapata wateja wengi sana, ungawa watakuwepo wanao itamani kama mimi.
Tatizo ni after-service na parts.
Utamadunu wa kufanya service magari hapa bongo unazidi kujijenga , kama parts na service parts hazitapatikana kiurahisi hiligari halikai sana barabarani.