Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,735
Wakuu habari
Nimekuwa interested kujifunza na kutengeneza Animation cartoon, zile short videos.
Ila changamoto ni kwamba sina computer wala IPad.
Naomba kuuliza, je naweza kufanya hivyo kwa kutumia simu yangu ya mkononi?
Karibuni
Sent from my iPhone using JamiiForums