goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
Habari ndg wanajamvi. Mimi ni mwalimu lakini ndoto zangu nilitaka niwe daktari lakini kutokana na hali mbaya ya kifedha ndo niliamua kusomea ualimu wa diploma kwanza then nijiendeleze mwenyewe baadae
Nimehitimu form four 2009 na
kwa o-level nimefaulu vzur maana nina phy C, bios C, b/math C, chem C, na engl B. Japo nilisoma combination ya art kwa advance hivyo nilitaka nitumie matokeo haya ya o level kuomba diploma ya clinical officer badala ya kusoma degree ya ualimu maana nimegundua ualimu ni magumashi sana.
Naamini hapa jf ntapata ushauri mzuri wa kunijenga je kusoma degree ya ualimu na hiyo diploma ya C.O kipi bora na vp kuhusu upatikanaji wa vyuo vya clinical officer ikiwa ni pamoja na competition ukilinganisha na huo ufaulu?
Nakaribisha ushauri wenu