Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

Joined
May 27, 2021
Posts
11
Reaction score
4
Habari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.
 
Ndugu yangu siku hizi diploma kwenda degree nafasi ni chache sana hasa kwa doctor of medicine (MD) tena wanataka wale ambao walifaulu O-level vizur
Kama itakuwa vizuri ni heri ukatafuta sehem hukaajiriwa ukizingatia una GPA nzuri kwasababu F ya math O-level itaku sweep out kwenye system ya TCU.
Ni ushauri wangu
 
Ukishapata D au F kwenye cheti chako Ni Kama nuksi tu

Yaani utazunguka weeee!!! Ila lazima wakupige knock out kwa hizo Grades
 
Humu sijaona St.Francis (Ifakara campus) wala St.Joseph (boko campus), mwaka huu MD imefutwa kwao nini?
 
Humu sijaona St.Francis (Ifakara campus) wala St.Joseph (boko campus), mwaka huu MD imefutwa kwao nini?
St.joseph mwaka huu hawana ila St.francis Ifakara 😁 nilipata connection ya admission officer akasema watashughulikia jambo hilo kabla ya application za mwaka huu kuanza maana saivi pale wapo MD 1 tu intake ya mwaka jana hakuna MD za juu😁
 
Habari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.
Dogo unasoma sana kuna mshikaji wangu Olevel alikuwa na div 2 hlf diploma 3.5 akapata Bugando last yr sema kwa vyuo vya serikali competition ipo juu sana
 
St.joseph mwaka huu hawana ila St.francis Ifakara nilipata connection ya admission officer akasema watashughulikia jambo hilo kabla ya application za mwaka huu kuanza maana saivi pale wapo MD 1 tu intake ya mwaka jana hakuna MD za juu
Nisaidie no ya huyo admission officer inbox plz
 
jamani samahani nimeangalia zile jedwali sijaelewa vizuri hivi MD ukiwa umetoka form six faulu yake iweje? upate division ngapi mwisho na passes ziweje?
 
jamani samahani nimeangalia zile jedwali sijaelewa vizuri hivi MD ukiwa umetoka form six faulu yake iweje? upate division ngapi mwisho na passes ziweje?
Kadri ya TCU guidebook ya 2021/2022.
Inasema minimum admission point uwe na point 6 kwa haraka haraka uwe umepata D's 4 yani phyz D, Bios D na Chemistry D ambayo ni sawa umepata division II ya point 12 Lakini kutokana na competition unatakiwa ufaulu zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom