mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 197
Hapo ndo sheeda inapoanzia. Mi ni user mkuu...wala sina knowledg yaku deal nazoHizo laptop zina kama viooo vitatu tofauti, na vinapishana bei, ili uweze kujua bei vizuri angalia njia ha mkanda zipoje kisha zitume hapa nkupe bei,
mana njia zingime zinashare na dell latitude620/630
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo kesho ofisini kwangu machinga nicheki namba 0738801618
Machinga, pale ilala?!njoo kesho ofisini kwangu machinga nicheki namba 0738801618
ndio mkuu nicheki kwa namba ya simi hiyo kila kitu kitakuwa sorted.
Ntakutafta ndugu! Ila alhamis (tarh 7/2/'19) nahis ndo ntakua free.ndio mkuu nicheki kwa namba ya simi hiyo kila kitu kitakuwa sorted.
Hapa ni bei ya used au kipya?!Andaa kuanzia 120,000 mpaka 150,000.... Sometimes unaweza pata pungufu ya hapo pia.
Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
njoo kesho ofisini kwangu machinga nicheki namba 0738801618
Asa km mtumba ni bei hyo na kipya ni pesa ngai?!! Ni hatar zana-zana!Used... Kariakoo vinapatikana.
nicheki kwa simu tuongee vizuriUnanunua laptop mbovu?
Sent from my SM-G532F using Tapatalk