Naweza kupata wapi HDMI cable kwa hapa Bongo

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,144
Reaction score
8,876
Jamani nauliza naweza kupata wapi HDMI cable yaani kama kuna duka,je lipo sehemu gani,na kama kuna mtu anauza,ningependa kama inawezekana kujua na bei yake,
Natanguliza shukrani
 
duh mbona zipo nyingi tu mkubwa hata wamachinga wanazo watafute watakuuzia tu
 
Shukrani ndugu yangu si unajua tena sisi wazee wa shamba hata kuja Dar inakuwa shughuli ngoja nianze kuulizia thx bro
 
HDMI cable zinapatikana Dar kwa wastani wa sh. 15000 kwa urefu wa mita 1.5. Bei inategemea ubora wake pamoja na urefu wake.Mimi hununua kwa MUSA TELECOM hapo Kariakoo simu yao ni 0713777123.
 
15,000?....sorry,kuna vitu bongo ni bei rahis kuliko huku utumwani.

Kweli rahisi lakini quality mara nyingi inakuwa mbovu, ni bora ukanunue kwa jamaa wanaoleta used from UK kuliko kununua Brand new kwa Chingaboy Kariakoo.
 
HDMI cable zinapatikana Dar kwa wastani wa sh. 15000 kwa urefu wa mita 1.5. Bei inategemea ubora wake pamoja na urefu wake.Mimi hununua kwa MUSA TELECOM hapo Kariakoo simu yao ni 0713777123.

duh! mbona bei rahisi hivi? in maana hawa ngozi nyeupe walinikamata?
 
HDMI cable zinapatikana Dar kwa wastani wa sh. 15000 kwa urefu wa mita 1.5. Bei inategemea ubora wake pamoja na urefu wake.Mimi hununua kwa MUSA TELECOM hapo Kariakoo simu yao ni 0713777123.
Asante ndugu ,nikiingia Darisalama nitaenda hapa Musa Telecom,huyo bwana si ndio yule alikuwa watu wa mwanzo kuwa na Internate cafe yenye games pale Kariakoo karibu na kijiwe cha wauza madini ,ofisi yake ilikuwa kwenye ghorofa ,ni mitaa kutoka pale kwa kituo cha bakhresa ukitokea Morogoro road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…