Naweza kupata mkopo chini ya milioni kumi kwa hati ya nyumba?

Kafanyau Hawije

New Member
Jun 21, 2016
1
0
Waungwana nawaslimu!
Napenda kupata ufafanuzi kama kuna sehemu naweza kupata mkopo chini ya miln kumi ila nitatoa hati ya nyumba kama fixed assert.
Naomba anayeweza kunipa msaada wa mawazo
 
Nenda beki yoyote ukiwa na hati ya KWELI ya nyumba utapata fedha unayotaka.
 
Waungwana nawaslimu!
Napenda kupata ufafanuzi kama kuna sehemu naweza kupata mkopo chini ya miln kumi ila nitatoa hati ya nyumba kama fixed assert.
Naomba anayeweza kunipa msaada wa mawazo
Utalipaje huo mkopo? Hati peke yake haitoshi. lazima uwe na mchanganuo utakaoonyesha mapato yako na jinsi utakavyouservice huo mkopo. Benki zote zinakopesha ila lazima uwe liquid. Kama una biashara nenda ACB, Mkombozi hata NMB utakopeshwa fasta. Tena wanatafuta sana wakopaji maana ndiyo biashara yako. Ila lazima unonyeshe uwezo wa kulipa. Si unajua benki wanatumia hela za watu kukopesha hivyo lazima wawe na uhakika kuwa hazitapotea.
 
Waungwana nawaslimu!
Napenda kupata ufafanuzi kama kuna sehemu naweza kupata mkopo chini ya miln kumi ila nitatoa hati ya nyumba kama fixed assert.
Naomba anayeweza kunipa msaada wa mawazo
Nenda EFC, wako pale sayansi na wana matawi mengi hapa Dar(Temeke na Gongo la mboto)
 
Back
Top Bottom